Joda hakuna cha mchawi hapa wala nini, ni mawazo yako tu. Ameumia sana, ameteseka sana, amefadhaika sana kwa tabia ambayo wewe umekuwa ukiionyesha bila wewe mwenyewe kujua. Mfariji, mwambie afunguke aongee, wakati wote mwambie akuambie umekosea nini ili ujirekebishe, na vile vile mwambie kuwa...