Zitto Kabwe: The Bottom 30m

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,236
9,841
‘Why majority of Tanzanians are impoverished in a Wealthy Country and How to eradicate Poverty'
Zitto Kabwe, MP

I use the term The Bottom 30M to paraphrase Paul Collier's Bottom Billion. This article has been motivated by the article I read from The Citizen on Saturday of 9th June, 2012. The article ( Tanzania: Don't leave your rural world behind) authored by Jacques Morisset, an economist from The World Bank explains the obvious and answers the fundamental question, ‘why is Tanzania poor'.

The Bottom 30M: Rural Tanzania Almost 30 million Tanzanians are left out of Tanzania's success story because the economic growth has never been inclusive. The policies of economic development adopted by Tanzania as directed and supported by the Bretton Woods institutions is the main cause of this skewed growth.

For the last 10 years, a decade, of adopting Poverty Reduction Strategies (MKUKUTA I, II and now III) Tanzania has recorded a remarkable economic growth rates but with a puzzling outcome, because the majority still live in poverty. In 2011 the Poverty and Human Development Report (PHDR), the first statement recognizes this paradox of ‘a growing economy with increasing poverty' and that of growth without jobs. One can claim that thebottom 30 millions Tanzanians are poor because the policy makers wanted it be.

Why are the majority of Tanzanians still poor? Government reports as well as various research findings show that the poor live in rural Tanzania. The Household Budget survey of 2007 shows that 37% of the people living in rural areas are living below the poverty line, only 2% of the people have access to electricity and less than 40% have access to water supply. The Uwezo report ' are our children learning‘ of 2011 shows that children from poor families do not get educated and for those in standard three in primary schools, only 3 out of 10 can answer a standard two question. This is a clear indication that the poor potentially get poorer and inequality widens.

Lifting poverty levels in the rural area could potentially improve even the welfare of urban community. Statistics show that majority of young people migrate to urban towns every day in search of greener pastures. However, it is clear from my explanations above, these young people would arrive in urban areas without sufficient job skills, without proper economic potentials and therefore this breeds another life of misery. It is not rocket science to link the high unemployment in our towns and cities and the increase in criminal activities such as drug trafficking, prostitution etc. The point I am driving home here is, it is in our best interest to improve the welfare of the rural majority in order to ensure peace and tranquility even to those who live in urban areas. Why is poverty a rural phenomenal?

Mr. Morisset again states the obvious. Agricultural growth in Tanzania has been flat. Since Agriculture is the dominant sector in rural areas, then rural economy's growth rate has been flat over the last decade. While we recognize record growth of Tanzanian economy, only a quarter has felt the growth leaving the rest living below the poverty line, for the last 10 years. This has happened because of poor and extractive policies on Agriculture (bureaucratic and corrupt crop boards, roadblocks, export bans onagriculture produce), inadequate rural infrastructure ( irrigation, roads, energy and water supply) and a lack of focus (leadership being distracted to lucrative rent generating sectors like mining and later telecom). In many sense, our leadership decided to leave the rural behind.

Tanzania chose to have the Rural poor. Rural Development has never been on top of the agenda of the Government of Tanzania since 1985. Rural Tanzania is poor because post Mwalimu governments have made a consisous decision for it t be that way. We in the opposition have been tirelessly working on bringing the plight of the rural people on the agenda for some time. Our last shadow budget put forward pioneering spending plan to address growth constraints in rural areas whereby TZS 150bn would be spent annually for three consecutive years. Targeted areas for this spending plan would be; rural roads, rural energy and rural water supply (including irrigation infrastructure). We went further to propose for the formulation of therural development policy and establishment under the Office of the Prime Minister the Rural Development Authority with mandate to monitor initiatives and removing constraints to growth of the rural economy.

This Authority would really do what Mr. Morisset suggests, the two models to propel the rural economy which are contract-farming monitoring and regulating and advancement IT use to rural areas. These policy shift and initiatives would be empathized again in the 2012/2013 shadow Budget as we did last year. The government must

 
People in mining areas are also poor because of the ‘oppositionpoliticians' like Zitto who earned recognition as a local supporter to thepoint of being invited by people affected by mines to be their representative,instead they use the opportunity to receivea generous financial contribution from mining company to help them in their re-electioncampaign
 
Zitto,

Naquote hii
"Rural Development has never been on top of the agenda of the Government of Tanzania since 1985. Rural Tanzania is poor because post Mwalimu governments have made a consisous decision for it t be that way."

Kama walivyo wanasiasa wengi Tz siku hizi you are lookin back to Mwalimu days with tinted glasses...Tanzania was extremely poor then even more so huko vijijini, watu walikuwa wanatembea uchi au kuvaa vibweda na kanika hadi Salim A. Salim akamshauri mwalimu waruhusu mitumba ndio nguo zikaanza kufika vijijini, for your info prior to 1985 things were even worse labda kwa vile weye bado ulikuwa mdogo siku hizo. sera za mwalimu za uchumi were completely failure productivity viwandani ili plunge to the bottom Mwl akawa mgumu kuaccept reality ilhali sisi wananchi hali ikiwa mbaya zaidi, ni hadi utawala wa Mwinyi na kufungua uchumi kidogo mambo yakawa nafuu.

Nakubaliana na wewe kuwa since then maeneo mengi ya mjini watu wana nafuu kidogo ilhali bado vijiji vingi vimeachwa nyuma. Lakini nakubaliana na mwandishi kuwa suala kubwa hapa kwetu hata kabla ya mbolea na irrigation scheme ni barabara. Kwa sababu hata hayo mazao kidogo tunayozalisha sasa hayafiki sokoni au yakifika ni kwa gharama kubwa na mengine mengi yanaozea mashambani kwa kukosa soko. Hasa sio soko ila kwa vile barabara ni mbovu wafanyabiashara hawaendi huko mfano ni sumbawanga ambako hivi sasa baada ya madaraja na brbr inyojengwa tayari unaona wakulima mambo yao yanaanza kunyooka.

Kingine cha msingi ni sera zetu kwa nini tunazuia wakulima kuuza mazao nje? hii kwa kweli inasikitisha yaani mtu wa mpanda haruhusiwi kumuuzia mzambia au mcongo mahindi ilhali yupo jirani na bei nzuri, ila awauzie GSR or whatever it is called nowadays kwa mkopo na bei nafuu? halafu bado tunashangaa kwa nini wakulima wetu wana hali duni ilhali sera na nyie wanasiasa mpo na mnajua hilo?

Unleash the power of the market na jengeni barabara wakulima watapata hela za kutosha kununua mbolea na kujenga mifereli yao ya maji...lakini kwa sera za sasa ohh mara msiuze mazao nje or mara ni bodi tu au Hifadhi ya taifa ndio watanunua mazao yenu, basi huu umaskini tutakua nao kwa muda mrefu sana
 
mnapoongelea haya mambo ya maslahi kwa taifa katika hiyo lugha ndipo hapo mnapoanzia kufanya kosa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
People in mining areas are also poor because of the ‘oppositionpoliticians' like Zitto who earned recognition as a local supporter to thepoint of being invited by people affected by mines to be their representative,instead they use the opportunity to receivea generous financial contribution from mining company to help them in their re-electioncampaign

Nadhani ingekuwa vyema kama tungejikita kwenye kuchambua "contents" badala ya "style."
 
Zitto said:
These policy shift and initiatives would be empathized again in the 2012/2013 shadow Budget as we did last year. The government must
Lugha lugha jamani!!
 
People in mining areas are also poor because of the ‘oppositionpoliticians’ like Zitto who earned recognition as a local supporter to thepoint of being invited by people affected by mines to be their representative,instead they use the opportunity to receivea generous financial contribution from mining company to help them in their re-electioncampaign

Nadhani ingekuwa vyema kama tungejikita kwenye kuchambua "contents" badala ya "style."
 
mnapoongelea haya mambo ya maslahi kwa taifa katika hiyo lugha ndipo hapo mnapoanzia kufanya kosa

Watu wameshaongea sana kuhusu huu utumwa wa lugha. Sina hakika huo ujembe umelengwa kwa nani? wafadhili? Na kama hatuna imani (confidence) kwenye lugha yetu wenyewe tunaweza kuwa na imani na nini?
 
Watu wameshaongea sana kuhusu huu utumwa wa lugha. Sina hakika huo ujembe umelengwa kwa nani? wafadhili? Na kama hatuna imani (confidence) kwenye lugha yetu wenyewe tunaweza kuwa na imani na nini?

Mkuu, mbona na wewe umeingia katika huu mtego wa lugha?
Hiyo confi.....nini sijui, haina kiswahili chake?
 
bravo Zitto,wana JF twaweza kumwua mjumbe kwa vijembe lakini hata hivyo ujumbe wake uko makini, unafikirisha, tena tunatamani CDM wangetumia mwelekeo huo kwa miaka mitano tu kama tusingeikimbilia Botswana na Afrika Kusini kiuchumi.

Ukimshambulia Zitto kibinafsi mpigie simu mtaongea, lakini hapa tujadili suala aliloleta, tusijali sarufi za kiingereza wala kiswahili chetu cha kuunga unga
 
Grave Misconceptions, I do not think that Zitto is not aware of SAGCOT, Kilimo Kwanza and many Rural Development Projects.

If he does, then he is totally misleading.
 
mnapoongelea haya mambo ya maslahi kwa taifa katika hiyo lugha ndipo hapo mnapoanzia kufanya kosa

Hususan kama lugha yenyewe inawapiga chenga.

Lifting poverty levels in the rural area could potentially improve even the welfare of urban community.

Are we trying to "lift" poverty levels or the reverse?

Mtu anaweza kuwa na ujumbe mzuri, lakini kujitutumua kuandika lugha za kigeni ili kuonekana msomi kunaharibu mtiririko na kuonyesha kwamba lugha hatuiwezi, mwishowe unapanda mbegu ya shaka kwamba unachokiongea unakielewa au unadandia nadharia zilizo en vogue na ku copy paste kutoka kina bwamkubwa.
 
Nadhani ingekuwa vyema kama tungejikita kwenye kuchambua "contents" badala ya "style."

Firstly, I am not sure how that was style and not content.

Secondly, when style affects presentation to the point of hindering delivery, style becomes content.

Mwambieni Zitto atafute proofreaders. Mie mtu wa kwenye authority anapofanya presentation mistakes nakuwa siamini kwamba anajua anachofanya.
 
Grave Misconceptions, I do not think that Zitto is not aware of SAGCOT, Kilimo Kwanza and many Rural Development Projects.

If he does, then he is totally misleading.

ukweli wa mambo unabaki pale pale TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI TATU DUNIANI OMBAOMBA ZAIDI SABABU NI KUPUUZA KILIMO AU KUKIFANYIA USANII.hatuna nia ya dhati kuendeleza kilimo na watu wanaoishi vijijini.kilimo kwanza halafu unaleta power tiller ?
 
ukweli wa mambo unabaki pale pale TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI TATU DUNIANI OMBAOMBA ZAIDI SABABU NI KUPUUZA KILIMO AU KUKIFANYIA USANII.hatuna nia ya dhati kuendeleza kilimo na watu wanaoishi vijijini.kilimo kwanza halafu unaleta power tiller ?

Nadhani huelewi kinachoendelea, zile Tractor zinazotangazwa kila siku zipo pale Suma JKT nazo ni power tiller?

Halafu soma hapa uelewe kinachoendelea kuhusu kupanuwa kilimo: Southern Agricultural Corridor of Tanzania: home
 
Nafikiri tuache kuzembea na kubeza ujumbe huu,inatupasa tuujadili na tutafute njia ya kubadili mambo kutokana na umaskini unavyokuwa maeneo ya vijijini ukilinganisha na ripoti zinazotolewa.
Hakika kwa mtazamo wangu ni kuboresha huduma za kijamii ili watu watumie muda mwingi kuzalisha na wala sio kutafuta huduma hizi; mfano.

Elimu-tuwe na elimu bora kwa maana ya vifaa na walimu wenye sifa
Maji-Huduma iwe karibu na wananchi na yapatikane kwa urahisi
Huduma za afya-upatikanaji wa tiba
 
Nadhani huelewi kinachoendelea, zile Tractor zinazotangazwa kila siku zipo pale Suma JKT nazo ni power tiller?

Halafu soma hapa uelewe kinachoendelea kuhusu kupanuwa kilimo: Southern Agricultural Corridor of Tanzania: home

Mipango tunayo mizuri huenda tatizo likawa ni utekelezaji wake,mie naamini muda tractor zilivyokaa pale SUMA JKT ungetumika kukopesha vikundi mbali mbali vya uzalishaji kupitia Saccos zao,Deni lingekuwa limelipika au kupungua kabisa na uzalishaji ungekuwa umeongezeka.
Tumejenga kasumba ya kutoaminiana na kisha kulaumiana kuwa ni wavivu na wazembe bila kuwa na sababu za msingi.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom