Hadithi hii nani niliisikia miaka ya 1990 tisini ILS ilielezwa kwamba ni Mmasai aliyekuwa ametoka mnadani akielekea nyumbani ila kea vile alikuwa na pesa nyingi aliomba hifadhi kwa Mchungaji ambaye baada ya kugundua mmasai na fedha alimuua usiku ile na kuzichukua japo mkewe hakutaka.Ilielezwa...
Kweli askari wanaolinda maeneo karibu na nyumbani kwa Lisu sana jambo la kujibu.Wasisikie mlio wa risasi!Haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nyie wanazi wa uongo nani asiyewajua,hata senti ya kuchangia matibabu hujatuma.Wewe ni polo kula upande unajifanya IPO.Wewe Nina hakuna NA Lipumba caf mko kundi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia mgonjwa tuondokane na uvyama.Daima wanafiki kwenye uwezo mdogo wa kufikiri ndio huweka mbele uvyama kwa imani watapewa madaraka.Watanzania tubadilike
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ya kutoa mawazo ya kumsaidia mgonjwa mnaingiza uvyama humu humu!Badilikeni Watanzania uvyama utaua utu na utaifa wetu kula siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.