Najua Mama chatanda ni spika, yupo mwenye agenda nyuma ya hili suala.
Mungu ampiganie Makonda, ipo siku kuna watu wataaibika. Makonda chapakazi tambua wapo watu nyuma yako tunakuombea.
Mama asikubali maadui wa Magufuli wawaandame wasaidizi wake
Hilo ni tatizo la Dunia nzima. Unaweza kumwandaa lakini ukashangaa kabaki jikoni anadeki na kufua mpaka ahakikishe umesinzia ndio anakuja kitandani. Don't stress yourself mwelewe tu hivyo hivyo. Hasa ukibahatika kujenga na mke akawa Ndani ndio hatari zaidi
Mzee huyo mtoto kiroho hamko naye, umemtenganisha na ndugu zake Wa damu kwa muda mrefu. Fanya utaratibu mpeleke kwa ndugu zake, kama baba yake yupo mtafute wazungumze. Mpeleke kijijini walau akasalimie wazee, akasafishe kaburi za wazee wenu Kisha mrudi mjini. Kama ataendelea nikate vidole
Vita ikianza watakaokufa ni Wanawake na watoto. Wao watakimbilia Miami Dubai na Doha kula bata. Watangulize watoto wao kwanza. Kuna umuhimu gani kufanya wanachokifanya, UN ianze kulaumiwa na kubeba msalaba Wa wakimbizi
Kituo cha AL Jazeera kwa ujumla ni mashabiki Wa Hamas, wanahamasisha mapigano ya Hamas na wako tayari kuonesha hata maiti hadharani kwenye Kituo Chao kinyume na maadili ya Habari ili kutoa uchochezi. Wale waandishi Wa AL Jazeera kimsingi sio waandishi wale bali wafanyakazi Wa Hamas katika...
Ushabiki Wa mpira ukiingiza dini unaharibu, lazima tujue kutenganisha dini na michezo, ukiamua kutafsiri kila jambo kwa mitizamo Wa kidini wallah I huwezi kuishi kwa Amani. Mpira ni hisia sio dini wala rangi. Mimi ni shabiki Wa Ronaldo automatically nimekuwa shabiki Wa timu ya AL Nasri, mimi pia...
Ukisoma post hii unaweza kudhani Dr. Mwinyi ni changamoto, kumbe wapinzani Wa Makonda Wa najaribu kutumia njia nyingi kutisha Mama. Kwa ufupi Dr. Mwinyi hatagombea, Makonda ndiye mwenezi wetu na atawacharaza Sana 2025. Upinzani jipangeni kupata jimbo hata moja itakuwa kama Ngamia kupenya kwenye...
Huyo mtangazaji alikuwa mfuasi Wa Hamas yeye na watoto wake wawili. Ukishakuwa mfuasi Wa upande mmoja Wa vita tegemea lolote. Dunia hakipaswi kuwa na upande katika vita hivi ili suluhu ya kudumu ipatikane watu Waishi kwa Amani. Umoja Wa Mataifa upewe nguvu na Jumuiya ya Kimataifa kusaka suluhu...
Makonda ni Mwamba, kama Chama kitaamua kumpa ushirikiano asilimia 100 atafanya CCM ichangamke kila idara na Kanda ya Ziwa itageuka kuwa ngome ya Mama. Swali lako liko wazi, Mama amepiga hesabu kali
Party ya mdogo wake unakataaje? Huko kwa mdogo wake ndio Kuna Dada zake, Mama zake, nk. Angekosekana ingekuwaje? Hata asipoenda Party anaweza kwenda guest au Lorge au geto kwa mtu. Be gentleman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.