Recent content by kasangezi001

  1. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na tapeli huyu

    Pole yake. Link hiyo
  2. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na tapeli huyu

    Sina Muda wa kupoteza na watu wa aina hii mkuu
  3. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na tapeli huyu

    Sasa ndugu ile nafasi uliyoniomba ya kijana wako kujiunga na jeshi.(jwtz) imepatikana naomba leo mapema tuwasiliane kama bado unahitaji. Nimepokea ujumbe huu kutoka namba 0754 437292 sijajibu wala kufanya chochote Kwani nimeona hainihusu kuweni makini
  4. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Hivi baada ya mtu kufa na kuzikwa anaenda wapi?

    Nahutokuja kujua kamwe hiyo ni siri kwako mpaka siku itakapokuwa zamu yako. Hii ni siri kubwa kwa mwanadamu. Hapo ndio Mwenyezi Mungu alifanya yake ww baki tu kusikiliza story nyingi tu
  5. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Napendezwa na majibu yako upo moja kwa moja kwenye point napenda sana
  6. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuambiwa nakupenda na mwenza wangu

    Achana na kuamini maneno amini vitendo yatosha
  7. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    Linajamaa limevuka mipaka aisee litakuwa Linamla........
  8. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wajumbe wa NEC msiwe na wasiwasi, Ma-Vyeo ni mengi

    ...... .. No Q1
  9. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa faida walizopata walioshiriki kumkomoa Mh Lema

    Nakuhakikishia mh lema atakuwa mtu Safi baada ya hili jambo
  10. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa faida walizopata walioshiriki kumkomoa Mh Lema

    Kula like. Na ninauhakika atakua na adabu sasa
  11. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Kisieri chacha mashauri ngereja - Bismarck schools
  12. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Kila kitu 'D'

    Even my gf is Deborah D. loh!
  13. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Huyu sio bashite kwelii

    Inaonekana waha wapemba na wasukuma walisha kushika pabaya sana. Pole sana
  14. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye mafanikio hawaoi au huwa wanachelewa sana kuoa kuliko wenzangu na mimi?

    Nina 30+ na sijafikilia kuoa ndugu labda nikifika 40+ mungu akipenda
  15. kasangezi001

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye mafanikio hawaoi au huwa wanachelewa sana kuoa kuliko wenzangu na mimi?

    Utakuwa na matatizo binafsi yani kushauliana na dada yako kuwe na mipaka ? Inawezekana mashauriano yako unamaanisha kugegedana. Nawaza tu kwa sauti
Back
Top Bottom