Huyu sio bashite kwelii

Huyu sio bashite kwelii

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,072
Reaction score
72,464
IMG-20170302-WA0012.jpg
nimecheka mpaka nimeliaa
@iceman3D njoo uone hapa
 
Aisee Huyu Atakuwa ni Bashite. i wish nngeona mitian yake ya form four alivyokuwa amejibu
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Dinadarde mungu anakuona ujue!
Unamtania kakako Bashite!
Kaka bashite anisamehee tu yaan hata d moja hakupataaa
 
Duh...mpaka nimecheka kama mwehu.

Mwanafunzi kama huyu anaweza kukupelekea Mwalimu ukaogopa kudai stahili zako kutoka serikalini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Fa fa ta fa fa fa fa
yaani miswaki yote "FAFA" afu anajifanya kuongoza watu wenye akili. laana hiyo imeikuta dsm last year imeongoza kufeli kwasababu inaongoza na failures.
 
yaani miswaki yote "FAFA" afu anajifanya kuongoza watu wenye akili. laana hiyo imeikuta dsm last year imeongoza kufeli kwasababu inaongoza na failures.
Hahahahahahah
 
nimecheka kweli. hivi na yule ananyiwa interview kwenye tangazo la halichachi si ni Daudi?
 
Back
Top Bottom