Kuweni makini na tapeli huyu

kasangezi001

Member
Jan 24, 2017
44
24
Sasa ndugu ile nafasi uliyoniomba ya kijana wako kujiunga na jeshi.(jwtz) imepatikana naomba leo mapema tuwasiliane kama bado unahitaji.

Nimepokea ujumbe huu kutoka namba 0754 437292 sijajibu wala kufanya chochote Kwani nimeona hainihusu kuweni makini
 
ungepiga hiyo namba kwanza...ndio habari yako ingenoga
 
Sasa ndugu ile nafasi uliyoniomba ya kijana wako kujiunga na jeshi.(jwtz) imepatikana naomba leo mapema tuwasiliane kama bado unahitaji.

Nimepokea ujumbe huu kutoka namba 0754 437292 sijajibu wala kufanya chochote Kwani nimeona hainihusu kuweni makini
Mimi pia niliwahi kupata ujumbe kama huu toka no.0672285614 ila niliona hainihusu nikaichunia
 
HAO NI MATAPELI INABIDI TUWE NAO MAKINI SANA....LAKINI CHA AJABU SIJUI WANAUSALAMA WETU WANAFANYA KAZI GANI YANI KUMGUNDUA HUYO MPUUZI MMOJA WANASHINDWA..
 
Mimi ni jana tu wameituma kuja kwangu bandugu kuweni makini na hawa jamaa, sms yenyewe ndo
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-15-13-24-49.png
    Screenshot_2017-03-15-13-24-49.png
    30.9 KB · Views: 42
Huyo anayetuma hizi SMS atakuwa ni graduate kaamua kujiajiri kwa njia hiyo maana tuliowapa dhamana ya kukusanya kodi zetu hawana muda na hili suala la ajira kwa vijana.

Sasa ndugu ile nafasi uliyoniomba ya kijana wako kujiunga na jeshi.(jwtz) imepatikana naomba leo mapema tuwasiliane kama bado unahitaji.

Nimepokea ujumbe huu kutoka namba 0754 437292 sijajibu wala kufanya chochote Kwani nimeona hainihusu kuweni makini
 
ni kweli wakuu anko wangu kashaingizwa mjin kasafir mpaka Dodoma bahat nzr akutuma pesa alioambiwa
 
Mimi ni jana tu wameituma kuja kwangu bandugu kuweni makini na hawa jamaa, sms yenyewe ndo
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linapenda kuutaarifu umma juu ya utapeli unaoendelea kufanywa na baadhi ya watu wanaojifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana wa kitanzania kwenye mafunzo ya JKT kwa lengo la kupatiwa malipo.
Utapeli huo unafanyika kwa njia ya simu za mkononi kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno tofauti tofauti.
Jeshi la Kujenga Taifa linasisitiza kuwa ujumbe huo siyo sahihi na wananchi wanatakiwa kujiepusha na utapeli huo wenye lengo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa za mchakato wa uchukuaji wa vijana wa kujiunga na mafunzo ya JKT utolewa na Makao Makuu ya JKT kwa mfumo ulio rasmi wa mawasiliano ikiwemo luninga, radio, magazeti na tovuti ya JKT.
Aidha, JKT kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, inafuatilia kujua ni mtu gani au kikundi kipi kinahusika na utapeli huo ili hatua kali za kisheria ziweze kuchukuliwa.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
Tarehe 17 Oktoba 2016
 
Namba ni hizo ziko wazi hapo kwann Jeshi letu lisiingie kazini kudeal na hao matapeli wanochafua sifa za Jeshi letu??
 
Back
Top Bottom