Recent content by kasagamba

  1. K

    Hii kuweka 'clip' za mpinzani wako kisiasa sidhani kama ina shawishi asipigiwe kura bali ni ushamba mtupu

    Kisu kimefika mfupani naona watu wameanza kuugulia maumivu, vita ni vita huwezi kumchagulia adui yako silaha ya kukupigia. Ili mradi clip hizo ni za kweli acha zitumike kufukunyua maovu yao
  2. K

    GE2020 NEC tumieni mafuriko mikutano ya Lissu kusoma alama za nyakati

    Ha lowassa alishinda ule uchaguzi lakini alitangazwa mwingine hivyo umakini unahitajika zaidi katka huu uchaguzi
  3. K

    Ubora wa maji ya Kilimanjaro unatia shaka!

    R.I.P Dr Mengi tayari mambo yanaanza kuharibika
  4. K

    GE2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

    Yule ni mwalimu wao wa sheria, Acha awafundishe
  5. K

    GE2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

    Kazi ya mbunge ni kufikisha malalamiko na kero za wananchi bungeni ili serikali iliyoko madarakani iweze kuyatatua /kushughulikia. Hivyo kama kuna maendeleo yamefanyika au hayajafanyika sifa au lawama ni kwa serikali iliyoko madarakani, Naomba ndugu wajumbe mulielewe hilo
  6. K

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Ni Ninazo nyimbo sita tu njoo what's app 0765544791
  7. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa tuunde misamiati yetu itakayo tuongoza vinginevyo hii kazi yetu itakuwa ngumu na vipato vyetu vitaharibika
  8. K

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    kuna mjengo kama Hekalu la nabii Suleman pale rainbow mbez beach ile pia inasemekana ni mali ya kakobe
  9. K

    Mrejesho: Ugumu wa kupata kibarua hapa Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Shukrani sana mkuu Naamini Mungu atafungua milango nitapata riziki ya familia
  10. K

    Mrejesho: Ugumu wa kupata kibarua hapa Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Mkuu nakushukuru sana Kwa ushauri Maana narudi mjini lakini sina mipango , Najisikia vibaya nimekaa mbali na familia karibu miezi 2 nasubiri kibarua narudi nyumbani na beg tupu bila hata biskuti ya mtoto.
  11. K

    Mrejesho: Ugumu wa kupata kibarua hapa Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Wakuu habarini za majukumu! Ni karibu miezi 2 sasa toka nilipotoka Dar na kujielekeza Morogoro eneo la Kisaki kutafuta riziki ya familia kwenye Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme. Wakuu huu mradi ni mkubwa sana ila utaratibu wa kuchukua wafanyakazi hasa get la Kisaki ni mbovu sana. Wajumbe...
  12. K

    Ugumu wa kupata kibarua hapa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Mkuu viongozi wa kijiji hiki cha Kisaki hasa wajumbe , wameigeuza hii ofisi ya kuopokelea maombi ya kazi kama Mali yao, Wamekuja na hoja eti wazawa wa kisaki kwanza,Wanatumia mwanya huo kuchukua mlungula wakati sisi tupo hapa toka miaezi ya 6 lakini order ikiletwa unaona watu wanaingia tu. Kuna...
  13. K

    Ugumu wa kupata kibarua hapa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Nashukuru mkuu! Mungu ndio Muweza wa yote Pale mawazo yetu yakifika mwisho hapo ndo yeye hufanya miujiza yake na kujitwalia utukufu
Back
Top Bottom