FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,823
- 46,943
Hadi leo hii ile hali ya chumvi chumvi bado ipo, sijui tatizo nini? Nimeacha kabisa kunywa hayo maji chumvi
Acha kuchafua biashara za wengine. Kama unayo hayo maji peleka tbs au mkemia mkuu wao ndiyo watoe taarifa baada ya uchunguziKwa kipindi cha takribani miezi miwili, kumekuwa na maji ya kilimanjaro yenye chumvi tofauti na kilimanjaro iliyozoeleka.
Najua watumiaji wa maji haya tu wengi, ikiwa ni watu binafsi na taasisi binafsi na za umma. Vikao, mikutano na hafla zote muhimu huwezi kukuta maji tofauti na kilimanjaro.
Na ukweli usiopingika kwamba, hali hii inatokana na ubora wa maji haya pendwa ya kilimanjaro. Lakini ninachelea kusema kwamba kumbe ni kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Kama haya maji yanazalishwa na Bonite bottlers, basi kampuni inatakiwa itoe maelezo kwa wateja wake kuhusu chanzo halisi cha maji haya badala ya kutuandikia Shirimatunda ilhali yanonyesha ni ya kisima.
Na kama kuna uchakachuaji pahala basi kampuni itoe tamko ili kuwalinda watumiaji wa maji haya.
Ninajua humu jukwaani hawawezi kukosekana watu wa kampuni. Na nimeliweka hapa baada ya kutopata namna ya kuwasilisha malalamiko kwa kampuni kwani, kwenye chupa kuna sanduku la posta tu. Hakuna email wala namba ya simu.
Kazi njema.
Maji yenye chumvi kwa mbali ni haya ya kiwanda cha dar kwanza,Mengi alikuwa anahusika nacho?R.I.P Dr Mengi tayari mambo yanaanza kuharibika
Sijui kwanini maji ya uhai nayaona machungu, labda tatizo ni mimi maana kila ninae muuliza hasikii huo uchungu..nimeyajaribu miaka mingi yamenishinda.Maji saivi tumebakia nayo ni Mwanza pure drinking water, Uhai na mengine ivi pH yake Iko above 7.3. Yaani maji MIE nachoongalia ni pH lazima iwe juu ya saba.
Labda kama washkaji wa pale TBS waweza wamelubali kitu kisome pH 7+ na huku uwongo kwa nguvu ya papers tu.
Ila maji kama ya uhai yenye pH yake ya 7.3 nayapendaje.
Ukizoea maji ya kilimanjaro ni ngumu sana kuyapenda uhai, hata mimi siyawezagiSijui kwanini maji ya uhai nayaona machungu, labda tatizo ni mimi maana kila ninae muuliza hasikii huo uchungu..nimeyajaribu miaka mingi yamenishinda.
InawezekanaUkizoea maji ya kilimanjaro ni ngumu sana kuyapenda uhai, hata mimi siyawezagi
Kwanini unapenda yenye pH kubwa?Maji saivi tumebakia nayo ni Mwanza pure drinking water, Uhai na mengine ivi pH yake Iko above 7.3. Yaani maji MIE nachoongalia ni pH lazima iwe juu ya saba.
Labda kama washkaji wa pale TBS waweza wamelubali kitu kisome pH 7+ na huku uwongo kwa nguvu ya papers tu.
Ila maji kama ya uhai yenye pH yake ya 7.3 nayapendaje.
Sio kidogo, sanaa hata mishahara ya kusua suaHii Kampuni Nadhani baada ya Mzee kufariki usimamizi umeyumba kidogo
Thank u kwa swali mkuu. PH angalau ambayo inatakiwa ya mwili ui maintain ni 7.3 haitakiwi hata kidogo pH yetu ya mwili iwe below 7 or in acidic media. Yaani ukifeli sana iishie 7.Kwanini unapenda yenye pH kubwa?
Maji si yanatakiwa yale 7 ambayo ni neutral?
7.3 and above si inakuwa basic?
Una point..very important pointsT
Thank u kwa swali mkuu. PH angalau ambayo inatakiwa ya mwili ui maintain ni 7.3 haitakiwi hata kidogo pH yetu ya mwili iwe below 7 or in acidic media. Yaani ukifeli sana iishie 7.
Napenda iyo coz magonjwa mengi yakiwemo kansa ndugu Yangu yanakuwa favoured in acidic media rather than in alkaline media. Nakuomba ufuatilie hii kitu kuwa magonjwa mengi yanayosumbua ulimwengu saivi simply their conducive nasema tena their conducive environment to prosper,grow, survive,develop is when our body pH is in acidic media kaka.
So kuna vya kula kibao tunavyokula in our daily life or eating style inayoleta iyo hali.
Ugali ukiwemo,nyama nyekundu zinaleta sana hali ya uasidi ama utindikali mwilini ndo mana Mungu alikataa ivyo vyakula ila sie tukawa wajuaji kuwa Mungu anatunyima raha kama mlokole anavyojima raha.
Jaribu kuchambua na fanyia tafiti. Kula sana vya kula Fulani afu kacheki pH pia guugo Mkuu.