Recent content by Karuh

  1. K

    Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    Mkuu labda utusaidie sisi ambao tuliishia darasa la saba, ivi bachelor degree inaanzia NTA ipi na advanced diploma ni NTA level IPI? Kwa elimu ya Tanzania tuna national awards kuanzia NTA Level 4 ambako certificate ni NTA level 4 , diploma ya miaka miwili ni NTA 5na 6 bachelor ni NTA level...
  2. K

    Naitaji gari la kutembelea

    Mimi nina pajero mini, ukiitaka nitafute!
  3. K

    Nauza pajero mini

    NAUZA PAJERO MINI Salaam wanaJF, Miezi michache iliyopita nilitangaza kuuza gari apa jf, wengi waliniPM ila ni kuwa ombi la wengi lilikuwa ni bei kuwa ipungue kidogo. Nilitangaza iyo bei ikiwa pamoja na music system ambayo ilikuwa ina’add value’ sana, sasa nimeamua kuondoa music sytem na...
  4. K

    Masikini UKAWA

    mkuu sijui kama unajielewa, wiki iliyopita uliwashauri kwa kuanzisha mada kuwa wasirudi tena bungeni, leo unaleta umaskini wa UKAWA kesho utasema utajiri wa UKAWA, sijui unatufurahisha wananchi wako au una lengo gani hasa...kiongozi wangu, kinachotafutwa na sisi walalahoi ni katiba bora sio...
  5. K

    Nauza gari zangu tatu:

    mkuu mimi sio mjuzi saana. Nijuavyo dvd radio, ni radio inayoweza kutumia dvd na DVD ni (DVD (short for digital versatile disc) is a digital optical disc storage format, invented and developed by Philips, Sony, Toshiba, and Panasonic in 1995), watenenzaji wa radio hizo upenda kuziita dvd radio...
  6. K

    Nauza gari zangu tatu:

    kweli mkuu, ni auto
  7. K

    Nauza gari zangu tatu:

    hata kama ingekuwa biashara yangu sawa, na ww si ndo mmiliki wa mtandao?nitumie invoice ntalipa iyo pesa ya matangazo, sawa mkuu?
  8. K

    Nauza gari zangu tatu:

    mkuu ,gari zote ni zangu na zina majina yangu,ninafanya kazi ktk taasisi kubwa kwa sasa sijafikiria kufanya kazi ya udalali, hata ivo udalali si dhambi,waache wanaobishana kama mimi dalali au la, ila wenye kuhitaji tayari tunanegotiate business via pm , ni ayo mkuu
  9. K

    Nauza gari zangu tatu:

    sorry kama nitakuwa nimechelewa kukujibu, nilikosa net access kwa muda. Gari zote ni automatic, sina tabia ya kutumia manual tangu nianze kununua magari. Pili, sababu kuu ya kupunguza magari ni kuwa mimi niko mwenyewe, siwezi kutumia gari zote tatu kwa wakati mmoja, baada ya kukaa muda mrefu...
  10. K

    Nauza gari zangu tatu:

    Salaam wanaJF, Nahitaji kuuza gari zangu tatu. Hii ni kwa kuwa zinakaa hazina kazi na mimi nahitaji gari moja tu kwa mizunguko yangu. Nimekuwa nikizipark ila sasa kama ilivo kama gari ikikaa sana inakufa betri,ni bora nikauza nipate fedha nifanye mambo mengine. Naanza kwa kuuza moja moja...
  11. K

    Kwa nini wanawake hawaipendi chadema?

    we mrembo nakushauri usianze kumfukuza mwehu muache akimbie peke yake,ccm washachizi hao!
  12. K

    Jua vifupisho na maana zake

    Lyangalo bwn,umenchekesha kweli: ila-FANTA si Foolish Africans Never Take Alchol na STK sisi tunakula kuku, alafu PhD permanent head damage. Mkuu ngeruhusiwa ningekosoa ivo.
  13. K

    Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

    Mkuu Lissu,we ni icon ktk bunge letu. Kama alhaj dr dr dr pres.jk alisema bora dr Slaa apate kura kuliko wewe kwenda bungeni tayari alishakubariki kuwa wewe ni tishio. You are my 2rd Role model after dr Slaa ! Gud gud!
  14. K

    Sasa Tunaomba Mwalimu wa Kuflash Modems

    Kumbe ukikaa darasani hata kama kilaza Akili inaweza ikakuvamia nawe ukashangaa. Mi tangu nov.mwaka jana kuna mtu aliniaidi kuja ku unlock moderm yangu,nlipokuja jukwaa ili nkagundua watu wanatupa direct link ktk google. Juzi nlipoingia kwa ofsi nkaanza utundu,nkapata direct link rais,yani...
  15. K

    Kuflash simu za mkononi

    Ni simple,unaenda mpaka posta round about mtafute fundi Mwesiga atakutoza kuanzia 5elf mpaka lak2 kutegemeana na simu,ila kama unahamu ya kujitegenezea,tafuta kama milioni ivi,uagize box uchina kama lak4 mpaka7,nunua cable,alafu down mafile kisha unlock kwa kununua credit vocha online kutoka...
Back
Top Bottom