Nauza gari zangu tatu:

Nauza gari zangu tatu:

why unaiuza wakati umeinunua mwaka huu-huu? ni automatic au manual?

sorry kama nitakuwa nimechelewa kukujibu, nilikosa net access kwa muda. Gari zote ni automatic, sina tabia ya kutumia manual tangu nianze kununua magari. Pili, sababu kuu ya kupunguza magari ni kuwa mimi niko mwenyewe, siwezi kutumia gari zote tatu kwa wakati mmoja, baada ya kukaa muda mrefu nimekuta betri mbili zimekufa tyari kwa kutotumika. Sasa najiuliza si bora niziachie kwa kuwa nanunua betri bila sababu?mfano november nuimenunua betri mbili N50 tsh 120,000/=each. Kama zingekuwa zinatumika betri zisingekufa, ndio nimeamua niziuze zote ikiwamo hii pajero niliyonunua september.
 
nimecheki tra iyo namba ya gari, jina la pili lililo tra linafanana na ID ya mleta mada ya jf, kama ni dalali kwenye mali zake kuna tatizo???alaf jf sijui tumekuja kuwaje, kwani kuwa dalali ni dhambi?si wanausaka mkate wa kila siku kama wewe ufanyavyo kwa njia zingine?

mkuu ,gari zote ni zangu na zina majina yangu,ninafanya kazi ktk taasisi kubwa kwa sasa sijafikiria kufanya kazi ya udalali, hata ivo udalali si dhambi,waache wanaobishana kama mimi dalali au la, ila wenye kuhitaji tayari tunanegotiate business via pm , ni ayo mkuu
 
we sema ndio biashara yako hhauta daiwa pesa ya tangazo

hata kama ingekuwa biashara yangu sawa, na ww si ndo mmiliki wa mtandao?nitumie invoice ntalipa iyo pesa ya matangazo, sawa mkuu?
 
Other: Dvd radio, plays cd and usb flash music, Four Wheel gear where required, Spoiler, sport lights,sport reams,roof rails.

Hapa kwenye nyekundu ndio nini?


mkuu mimi sio mjuzi saana. Nijuavyo dvd radio, ni radio inayoweza kutumia dvd na DVD ni (DVD (short for digital versatile disc) is a digital optical disc storage format, invented and developed by Philips, Sony, Toshiba, and Panasonic in 1995), watenenzaji wa radio hizo upenda kuziita dvd radio player. Au kwa kuwa sijaweka neno player , ili iwe dvd radio player??

Maana ya ngu ilkiuwa ni kwamba nina redio inaweza kutumia digital disc. Mkuu, waweza kunielimisha zaidi maana mimi najua ayo.
 
Mkuu,
Sisi ambao tuna experience na magari haichukui mda mrefu kuangalia picha ya ndani kujua kama hii gari ni auto au manual. Nimeshaendesha Pajero Jr Manual so nilivoiona hii mini kwa ndani nikaona ni auto. We huwezi kuona vizuri hiyo gear yake hapo mkuu kwa sababu imefichwa kidoooogoo.
Angalia picha hii
View attachment 124539

Hjanielewa. Nimeshaona na nimeshakubali kuwa gari ni auto,ila ninachosema ni kuwa expression aliyotmia muuzaji ni tungo tata!
 
Weka na hizo nyingine mkuu.

Huenda zikanunuliwa kabla ya hiyo uliyoweka kwanza.

Mi ningependa kujua zaidi kuhusu hizo mbili zilizobaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom