Recent content by Karug

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu wa kuagiza magari nje!

    Maelezo ya aliyetangulia hapo juu yapo sahihi isipokuwa katika kipengele kimoja cha gharama za clearing agent. Hawa watu wanachaji sh laki 2 na elfu 50 hadi laki 3 kwa gari moja. Kuna gharama ambazo hazipo katika calculator ya TRA nazo ni; 1. Port Charges 2. Warfage 3. Shipping line Ukiziweka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja Dodoma

    Wadau habarini! Nina kiwanja kimepimwa kipo Dodoma eneo linaitwa Swaswa mbele kidogo ya makazi ya Waziri Mkuu na jirani kabisa na inakopita barabara ya kuelekea Airport tarajiwa ya Msalato. Kimepimwa mchakato wa hati unaendelea, kina ukubwa wa Mita za Mraba 600, bei ni milioni 6. Karibuni kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Hii ni kitu cha ajabu sana. Siyo polisi, ni nani na alitumwa na nani kwa maslahi ya nani? Hapa pana maswali ya ajabu sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa iphone 5s

    Dealer anapatikana JM Mall mtaa wa Samora ilipokuwa Shoprite zamani. Kuna dealer nadhani anaitwa Elite Computers, ila jipange na wallet yako. Anatoa guarantee ya kazi yake....
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha ATCL: FastJet kuuza ndege zake na kununua nyingine ili kukabiliana na ushindani wa soko

    Kiukweli nilitegemea ndege aina ya Embraer kutoka Brazil na si Bombardier za Canada. Binafsi nimesafiri mara kadhaa kuwa kutumia Embraer na kwa nyakati tofauri Bombardier ambazo zaidi katika ukanda wetu zinamilikiwa na mashirika ya ndege ya Zimbawe au Zambia nadhani, lakini Embraer ni best kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Toyota Premio new model au Gx 110 linahitajika

    Weka namba nikurushie picha ktk WhatsApp premio G ya mwaka 2003 namba CPF imetembea km elfu 76 rangi silver
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nina mil 8 nataka gari lenye hari nzuri

    Nina gari mbili; 1. Toyota Corolla Model AE110, engine 5A ya mwaka 1997 imetembea km 55,000 ni namba CAX. Bei yangu 7m bila kupungua iko bomba sana 2. Toyota Premio ya mwaka 2003 namba CPF imetembea km nadhani 75,000 bei ni 11m ila hii inapungua kidogo sana. kama bado hujapata na uko interested...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TRA na ushuru wa kuingiza gari

    Mkuu tatizo siyo bandari ya kupitishia hizo gari au mizigo mengine bali ni kanuni ya ukokotoaji wa kodi. Ukipitia Mombasa sawa, kwani hiyo gari utaisajili mombasa na kuitumia huko huko?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    Kwa mtazamo wangu na wa wengi tutafurahia serikali kutoa ada elekezi wa shule binafsi! mashaka yangu furaha hiyo itakuwa ni ya muda tu. Ili tuwe na furaha ya kudumu katika hili pamoja na la viwango vya elimu vinavyofanana bila kujali ni shule ya binafsi, ya dini, au serikali nashauri serikali...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Kuna mambo yananipita mwenzenu samahani; nimekuwa nikisikia jimbo a Kawe na Kinondoni hakijaeleweka, au?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JamiiForums imenipatia mke mwema

    Mwenyezi Mungu katuumba tofauti-tofauti ili kila mmoja apate wa kufanana naye. Hongera sana blessings. Itakuwa vyema sana na mwenza wako akafunguka hapa jamvini ili wale akina tomaso waweze kuamini kwamba mmekutana papa hapa. Maisha mema na yenye furaha!
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya kumi kwa wanawake wazuri Afrika

    Watakuwa wameangalia na kichwa, maana bila kichwa sasa huyo bin adamu wa aina gani asiye kichwa jamanii?? Japo nakubali kwamba utafiti huu haukuwa huru na haki lkn Hongereni mama, dada, wake, n.k. zetu wa uzuri
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyefiwa na mume huitwa mjane, Mwanaume aliyefiwa na mke nimwite nani?

    Aitwa MGANE huyo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Jamani jamani, hiki ni nini tena Tanzania?? Poleni sana watanzania wenzangu huu ni msiba wa Taifa! Hizi picha chache ziliwekwa hazifai kuangalia jamani zinahuzunisa sana, dah!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ndogo isizidi Milioni 6

    Ipo Toyota Corolla 110 XE Limited ya mwaka 98 namba BUV inahitaji m7
Back
Top Bottom