Mwanamke aliyefiwa na mume huitwa mjane, Mwanaume aliyefiwa na mke nimwite nani?

Msaada pls kwako wewe ama yamekukuta ama una ndugu yamemkuta hili na mungu amtie nguvu sikia kwa mwenzio kufiwa
 
Wakuu,

Tupo sehemu tunabishana na wadau. Mwanamke aliyefiwa na mumewe huwa anaitwa Mjane, vipi mwanaume akifiwa na mke anaitwaje?

Kuna sehemu nilisema anaitwa mgane wakasema siyo kweli kuwa kunajinalake!

Waswahili mnisaidie tafadhali

Kwa kuswahili fasaha mwanamme akifiwa ni mjane kama ilivyo kwa mwanamke
Mgane sio kiswahili sanifu
 
Kiswahili sanifu, sema unaupungufu wa misamiati ya Kiswahili kichwani kwako
 
Mghane, humu wapo wavivu wa kusoma kamusi ya Kiswahili ili waweze kuelewa misamiati ya Kiswahili
 
Wakuu,

Tupo sehemu tunabishana na wadau. Mwanamke aliyefiwa na mumewe huwa anaitwa Mjane, vipi mwanaume akifiwa na mke anaitwaje?

Kuna sehemu nilisema anaitwa mgane wakasema siyo kweli kuwa kunajinalake!

Waswahili mnisaidie tafadhali

jaribu "mghane"
 
mkuu Ruttashobolwa wanaume waliofiwa na wake zao kiswahili sanifu ni "wasaruku"nimesoma michango yote hujapata jibu.
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa Mgane. Ila nadhani kuna historia maana zamani mwanamke ilikuwa nadra sana kutoka au kuwa na mtu wakati ameolewa au ana mume ila kwa sasa mwanaume unamwitaje mgane ilhali hata kwenye msiba wa mkewe hawara aka mke mtarajiwa anakuwepo?
 
Back
Top Bottom