Recent content by KARLO MWILAPWA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

    Let us decode the code ,je huyu sekretari ndio yule aliyekuwa SG wa Chama fulani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Acha kujinyofoa fyuzi , unajua maana ya Baraza kuu CHADEMA ? hiko kikao kinajumuisha wenyeviti wa Kanda, wenyeviti wa mikoa na makaribu wao
  3. K

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Baraza kuu la CHADEMA Lina wakristo asilimia 92 na huwa hata haisememwi kwa sababu CCM haijuhi kuhubiri udini na ukabila ila inahubiri amani na maendeleo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mama anatoka lini heda?

    Tuwe makini na tunayoposti, mleta mada atalalamika akianza kushughulikiwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chadema inaongozwa na makada wa CCM now?

    Sema watu ni wavivu wa kumuelewa Britannica ,Kuna Uzi aliwahi kusema usije ukashangaa top layer ya viongozi wa CHADEMA wakawa ni CCM. Nabii hakubaliki kwao
  6. K

    JamiiForums Tanzania Academic supremacy: Migiro vs Mnyika

    Waambiwe ukweli, first class aliyopata migiro pale UDSM mpaka Leo hakuna aliyeitikisa isipokuwa Prof. kabudi tu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Heche: Mwalimu Nyerere angekuwepo, angesikitika kwa Mzee Butiku kuwa Msaidizi wake

    Nikikumbuka ule Uzi ,Lissu aliosema Mwalimu alizoea vya kunyonga na nikimuona Heche akimtaja mwalimu naona anafanya unafiki sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

    2030 ni mwanamke tena na ni Dkt. Asha-Rose Migiro
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

    Makamu wa Rais anakuwa Rais kwa sababu mchakato wa kuondoka kwake haujakamilika
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hili ni fumbo kubwa la imani, mpaka sasa Ikulu hawajaandika chochote kwenye website yao, hamna popote Rais amekubali barua aliyotumiwa.

    Kujiuzulu hakutolewi tangazo Wala ufafanuzi, ni maamuzi ya mtu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nchi "imetekwa" Tuamke.

    Tulia animaliza muda wake na alipoomba tena akakosa kwa kuzidiwa sifa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kama barua ni ya kweli, Makamu wa Rais awe Dkt. Migiro

    Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
Back
Top Bottom