Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,387
- 14,656
It’ll take at least 50 years before another woman rises to the top. Fazafaka wa Kizimkazi kaharibu sana credibility ya wanawake!2030 kutakuwa ni vita ya kukata na shoka katika nafasi ya urais itakayopelekea wababe kupigana na kuumizana sana na kuchoka mno na kila mmoja kutotamanika wa kutazamika na mwishoni wa vita hiyo nikasikia sauti ikisema awe huyu na alikuwa ni mwanamke na vita ikaisha hapo na Chama kikaingia uchaguzini wakiwa wamoja na mwanamke huyo akashinda kwa kishindo mno".