Kigwangala wewe ni mtu hatari sana wa kuogopwa zaidi ya ukoma,Ccm hata Upinzani hawapaswi kuwa karibu na wewe.
Mtu wa aina yako hapaswi kuwa mwakilishi wa wananchi.2025,jiandae kurudi hospital kuchanja watu Korona
Alianza kwa kusema siku hizi ni mzee sana,kuna wakati hata jina la Mwanae (Hissein) huwa analisahau.
Kwa age yake ya 95+ kawaida sana vitu kama hivyo.Kwa maelezo zaidi waulizee watu wa Psychology watakupa ufafanuzi
Haya mambo Nyerere alikemea sana.Kitendo cha wewe kukaa na kupekenyua asili ya wateuliwa wote wa Raise na kugundua baadhi ni wa kabila fulani wewe ni mkabila namba moja.
Kipimo cha wateule wa Rais ni ufanisi wao katikae kazi.Alimteua PM Mmwera ambae watu hawakimtarajia kabisa,mbona hamjasema...
Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu.
Katika harakati zangu za kusaka unafuu nikakutana na chimbo la bando za Aitel za chuo zenye gharama nafuu.
Maisha kusaidiana ,hapa nawawekea procedures mpya za kujiunga na bando hizo.
BOFYA...
Licha ya taarifa ya TCRA kusitisha bei mpya ya mabando bado hali huku mtaani ipo vilevile.
Bei zimebaki kuwa zile zile ambazo tulizilalamikia.Nashindwa kuelewa ile taarifa ilikuwa ya kutuliza hali ya hewa au Mitandao imegoma kurudisha mabando ya zamani?.
TCRA tunaomba ufafanuzi mwingine please.
Kama alivosema Madam,awamu hii hakuna kulaza mambo.Juzi wakati anaapisha mawaziri alisema baada ya hodlday siku ya jumanne wenda zoezi la kuapisha viongozi litaendelea.
Mizimu yangu imeniambia kundi la viongozi linalofuata kufumuliwa na kusukwa upya ni hili la wakuu wa mikoa na wilaya.Wenda...
Serikali haiwezi kujaa vijana tupu,hawa wazee wana siri nyingi hawawezi kuenguliwa wote,lazima wabaki wachache kwa ajili ya kurithisha mikoba ndiyo maana mama alisema mzee atakuwa waziri katika kitengo maalumu.
Afu jua kuwa mzee mkuchuka ni captain mstaafu wa jeshi,amebeba mambo mengi.
Leo nataka kuizungumzia mamlaka inayosimamia mchezo wa miguu hapa nchini.
TFF ya karia kwa hakika imepata mafanikio kadhaa kama vile kushiriki Afcon Senior na junior, CHAN nk.Lakini pia kuboresha soka la wanawake.
Doa kubwa ambalo Rais Karia asipoangalia litamletea matatizo ni hii Issue ya...
Hao ni maafisa wakubwa ,Na ukiwa askari kazi popote.Mfano huyo kanali Mulunga anaweza kuwa hata mkuu wa kikosi au akapandishwa cheo kuwa brigedia. Jiulize kabla ya Rais Magufuli walikuwa wapi na walikuwa wanafanya nn?.
Kitu pekee watamiss ni ile misafara but scale yao iko vile vile na inaweza...
Mwigulu ni mbobezi wa masuala ya uchumi,Mama ulimsikia siku ile .
Afu mjomba,nchi hii huwezi pata mtu safi completely,anaangaliwa mwenye unafuu.Mwigulu aliwahi kuwa naibu waziri kwenye hiyo wizara enzi za JK,alifit vzr.
Ki utendaji mwigulu yupo pouwa,kinachompoza ni kujibizana hovyo na watu...
Ok jiulize, kama angekuwa newyork siku ile jina lake linatajwa ,unadhani angewahi uhapisho?.Thats why nasema baadhi huwa wanapewa taarifa mapema,kama yeye siku anatajwa tyr alikuwa amewasili Dodoma.
Kwa zile nafasi kubwa kubwa hata kama hujaambiwa but kuna mazingira unyaona unaweza kuguess kitu.
Kama vile PM,VP baadhi huwa wana taarifa before.Hata mawaziri na wakuu wa mikoa baadhi huwa wanapewa ronja.
Kama ile Issue ya mpango,ni mchakato ulitembea pale ndani ya CCM,so hata baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.