Kabla Rais hajakuteua, ni lazima upate taarifa mapema?

Kwa zile nafasi kubwa kubwa hata kama hujaambiwa but kuna mazingira unyaona unaweza kuguess kitu.

Kama vile PM,VP baadhi huwa wana taarifa before.Hata mawaziri na wakuu wa mikoa baadhi huwa wanapewa ronja.

Kama ile Issue ya mpango,ni mchakato ulitembea pale ndani ya CCM,so hata baadhi ya wabunge walijua befere coz ni wajumbe,ni rahisi kumpenyezea taarifa mpango

yule Mama mulamula siku anatangazwa alikuwa Dododoma but siku zote makazi yake ni Dar.
 
Mula mula alikuwa Lecturer chuo kimoja huko Newyork, three weeks zilizopita nilimuona kwny TV kwny mjadala

Dr. Mpango anasema wakati anapewa Ubunge wa viti maalumu na Uwaziri kwa pamoja hakuwa na taarifa na alipigiwa simu na rafiki zake baada ya wao kuiona barua ya Msigwa

Huenda ni kweli lakini kwa teuzi za Rais lazima members kadhaa wa TISS wawe karibu yako kukupa taarifa baada ya teuzi ili wahakikishe unafika sehemu stahiki kuapishwa
 
Sasa mbona wengi wao hujifanya kustuka sana! Mpango: sikuwahi kuota.
 
Mara nyingi huwa wanastukizwa

Prof Juma Othman Kapuya aliteuliwa kuwa Waziri wa Michezo mara ya kwanza 1995 akiwa Jukwaani anashangilia mechi ya Simba Uwanja wa Taifa,

Huu utaratibu sio Mzuri kabisa kwa kuwa

a) inawezekana Mhusika akakataa kama yule jamaa wa Tigo aliokataa Uteuzi wa UDC halafu ikaonekana eti kadharau Mamlaka ya Amiri jeshi na baadae Mtendaji Mkuu wa Tigo akashauriwa amfukuze kazi ili asije akapigwa Tax Audit kwa mtumishi wake kukataa heshma aliyopewa na Rais

b) inawezekana mhusika ana makando kando mengi ambayo kama ingejulikana kuwa karibia anateuliwa Raia wema wanaweza kujulisha Mamlaka, mf US wenzetu kule utaskia kabisa Rais anatarajiwa kumteua Fulan kuwa Waziri wiki ijayo

Samia mwenyewe anakiri alistukizwa kuwa Mgombea Mwenza

Mzee Makamba alipostukizwa kuw Katibu Mkuu wa CCM akiwa Mkutanoni anapiga soga bila ya habari

Atleast Sumaye anasema aliitwa na Rais saa moja kabla ya kutangazwa na kujulishwa

Mizengo Pinda alipoteuliwa kuwa PM anasema alikuwa zake kwake na Rafiki yake Paul Kimiti wanajadili nani atakuwa PM muda mchache kabla ya Jina kufikishwa Bungen akashangaa Gari za Ikulu zimeingia kwake anahitajika aingie ndani ya Gari kwenda kwa Rais, Paul akamwambia ''Kikombe tayari kimekuangukia'

Kuna Bregadier wa Jeshi aliwahi kutangazwa kuwa Mnadhimu wa Jeshi enzi za Mwalimu akiwa Nachingwea anacheza zake mpira
Duuu huyo mfanyakazi wa tigo hawakumtendea haki, walimlazimisha kazi asiyoipenda
 
Mula mula alikuwa Lecturer chuo kimoja huko Newyork, three weeks zilizopita nilimuona kwny TV kwny mjadala
Ok jiulize, kama angekuwa newyork siku ile jina lake linatajwa ,unadhani angewahi uhapisho?.Thats why nasema baadhi huwa wanapewa taarifa mapema,kama yeye siku anatajwa tyr alikuwa amewasili Dodoma.
 
Hakuna uteuzi unakuja bile we we lmteuliwaji kufahamu.

Wanaoteuliwa kwa ngazi za chini wilayni kushuka chini hupigiwa simu na kufanyiwa usaili, kisha huambiwa ukihitajika unaweza kuwa tayari, ukijibu ndiyo unaingizwa kwenye orodha ya kufanyiwa vetting.

Nafsai kubwa za mikoa, wizara na kitaifa.... Utaitwa au unapigiwa simu na afisa mwandamizi serikalini akachukua maelezo pia nk.

Kwa pm, VP hujiongeza kwa kuona unajaliwa kupita maelezo, umeongezewa ulinzi Nk.

NB: huo ni uteuzi fair.

Kuna uteuzi wa kununua,

1. Ukihitaji hiyo kazi unawaza MTU wa kukufikisha kwenye mamala ya uteuzi.

2. Mpambe wako akifika kule atapewa bei elekezi. Hapa inawahusu sana wakuu wa idara mawilayani, wakuu wa shule, vyuo vya kati, vitengo, OCS, OCD nk.

Bei chini ni 1M, kwenda juu inategemeana na unakopelekwa.

3. Uteuzi mwaingine huasisiwa kwenye chama tawala na vyombo vya ulinzi.

-ccm inaweza kuambiwa waadae wanachama 20 wenye taaluma kuanzia shahada kwenda juu, wazingatie jenda.

-jeshi linaweza kuambiwa watume majina 10 kwa cheo cha kuanzia meja hadi kanali, elimu shahada, ukapewa note: kama kuna captain mwenye masters niambatanishie jina lake.

4. Ndugu wa mteuaji, hawa nao hupeleka majina ya washikaji wao kwa mteuaji. Mfano ni mimi, niliteuliwa kwa sababu wife ni mpwa wa RAS.

5. Mapambano binafsi, pambana kwa namna yoyote kuhakikisha jina lako umelipenyeza mezani kwa mteuaji au washauri wa mteuaji.

Kumbuka:
Hakuna bahati ya kuteuliwa, haitatokea siku moja upigiwe simu kuombwa ukachukue barua ya uteuzi au uone taarifa kwa umma kuwa umeteuliwa bila kuwa ehusishwa kwenye mchakato hata kwa miaka kadhaa nyuma.

Narudia, hiyo bahati haipo, lazima umeasisi uteuliwe au michakato rasmi imefanyika na utajua tu kuwa unafanyiwa vetting.

Utapigiwa simu wewe au boss wako.

Ova.
 
Ok jiulize, kama angekuwa newyork siku ile jina lake linatajwa ,unadhani angewahi uhapisho?.Thats why nasema baadhi huwa wanapewa taarifa mapema,kama yeye siku anatajwa tyr alikuwa amewasili Dodoma.
Baada ya kufariki Magufuli Mabalozi wengi kama sio wote walirudi nchini, ndio maana hata yule Katanga Katibu Mkuu Kiongozi ambaye alikuwa Balozi Japani anasema alikuwa ameshakata tiketi ya kirudi Japani.
 
Mara nyingi huwa wanastukizwa

Prof Juma Othman Kapuya aliteuliwa kuwa Waziri wa Michezo mara ya kwanza 1995 akiwa Jukwaani anashangilia mechi ya Simba Uwanja wa Taifa,

Huu utaratibu sio Mzuri kabisa kwa kuwa

a) inawezekana Mhusika akakataa kama yule jamaa wa Tigo aliokataa Uteuzi wa UDC halafu ikaonekana eti kadharau Mamlaka ya Amiri jeshi na baadae Mtendaji Mkuu wa Tigo akashauriwa amfukuze kazi ili asije akapigwa Tax Audit kwa mtumishi wake kukataa heshma aliyopewa na Rais

b) inawezekana mhusika ana makando kando mengi ambayo kama ingejulikana kuwa karibia anateuliwa Raia wema wanaweza kujulisha Mamlaka, mf US wenzetu kule utaskia kabisa Rais anatarajiwa kumteua Fulan kuwa Waziri wiki ijayo

Samia mwenyewe anakiri alistukizwa kuwa Mgombea Mwenza

Mzee Makamba alipostukizwa kuw Katibu Mkuu wa CCM akiwa Mkutanoni anapiga soga bila ya habari

Atleast Sumaye anasema aliitwa na Rais saa moja kabla ya kutangazwa na kujulishwa

Mizengo Pinda alipoteuliwa kuwa PM anasema alikuwa zake kwake na Rafiki yake Paul Kimiti wanajadili nani atakuwa PM muda mchache kabla ya Jina kufikishwa Bungen akashangaa Gari za Ikulu zimeingia kwake anahitajika aingie ndani ya Gari kwenda kwa Rais, Paul akamwambia ''Kikombe tayari kimekuangukia'

Kuna Bregadier wa Jeshi aliwahi kutangazwa kuwa Mnadhimu wa Jeshi enzi za Mwalimu akiwa Nachingwea anacheza zake mpira
Asante sana mkuu
 
Habarini Wakuu!

Kwa nafasi za uteuzi chini ya Mhe. Rais, mteuliwa ni lazima utafutwe na kupewa taarifa mapema kabla ya uteuzi au unaweza kushtukizwa tu?

Je, wakikushtukizwa halafu baadae usipatikane hewani itakuwàje?

Je, wakikushtukiza halafu baadae ukawa hauitaki hiyo nafasi inakuwaje?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Unaota kuteuliwa? Kwa lipi?
 
Sasa mbona wengi wao hujifanya kustuka sana! Mpango: sikuwahi kuota.
Ni waongo, taarifa wanakuwa nazo ila zinakuwa hazina uhakika kwani uamuzi wa mwisho anakuwa nayo Rais kwa majina 3 au 4 anayokuwanayo kwenye mkoba na waliyoyajadiri aliowapa kazi hiyo.
 
Sasa mbona wengi wao hujifanya kustuka sana! Mpango: sikuwahi kuota.

Wanajua kabla na taarifa wakati mwingine Mkuu wa nchi kabisa wanaongea mapema kabla ya teuzi hizi kubwa eg VP, PM, Ministers, etc
 
Habarini Wakuu!

Kwa nafasi za uteuzi chini ya Mhe. Rais, mteuliwa ni lazima utafutwe na kupewa taarifa mapema kabla ya uteuzi au unaweza kushtukizwa tu?

Je, wakikushtukizwa halafu baadae usipatikane hewani itakuwàje?

Je, wakikushtukiza halafu baadae ukawa hauitaki hiyo nafasi inakuwaje?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Lazima ufanyiwe vetting kwanza
 
Back
Top Bottom