Recent content by karibukwetusingida

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara imekatwa: Poleni Watumishi watia nia

    CCM ni chama cha wafanyakazi na wakulima
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ilipe madeni ya watumishi

    Mkuu ww ni mtumishi? una uhakika na kitu unaongea? au awamu ya malipo yako haijafika tu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Customer Care wanakuwa na vigezo gani?

    Know Your Customer(KYC)
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Basi la Kampuni ya Abood Bus Service limepata ajali maeneo ya Mkolani

    Haya mabasi bwana yanatoka spidi sana nyegezi stendi kana kwamba hakuna magari mengine yanayotumia hiyo barabara,na huwa wanashindana kufika pale mzani usagara huyu dereva nina uhakika angekua na spidi ya kawaida(50) alikua na uwezo wa kumkwepa bodaboda,hii nimeliona wiki jana mabasi yanatoka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa Wilaya ya Tunduru - Ruvuma

    The long wait is now over.Kazi kazi
  6. K

    JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUTUMA VIAMBATANISHO

    Ni Kiambatisho/viambatisho siyo kiambatanisho/viambatanisho
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira muda tume ya Taifa ya uchaguzi NEC

    Mwenye hilo tangazo atupie hapa tafadhali
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu Shule ya Sekondari Buhongwa jijini Mwanza anishauri

    Buhongwa sek iko wilaya ya nyamagana iko njia ya kwenda shinyanga ukitokea mjini,ni kilomita 15 tu kutoka mza mjini shule iko 0.5km kutoka barabara ya iendayo shinyanga,iko karibu na soko na buhongwa ambapo utapata kila aina ya vyakula na mbogamboga kwa bei ya wakulima kabisa,kwa kifupi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wapi kuna ujenzi unaendelea nikaombe kazi?

    Nenda buhongwa baada ya olympic sheli kuna sheli tatu zinajengwa,ukikosa hapo nenda pale nyashishi mbele kidogo baada ya kupita nyashishi pia kunae sheli inajengwa.Note:nyashishi ni misungwi maana umetaja ilemela na nyamagana tu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    Amezungumza leo na wafanyakazi wa wilaya ya chato na hilo kalitolea ufafanunu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jina la Magufuli labamba Uingereza: Ukumbi mzima wa Chuo Kikuu cha Coventry wazizima baada ya kusoma jina la muhitimu kutoka Tanzania.

    Ww ni IAA product,pima hakua afisa elimu ila ni mkurugenzi kaliua huko tabora.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni Orodha ya Teuzi ambazo Mheshimiwa Magufuli kateleza naye ameshajua anatafuta jinsi ya kuwatoa

    antony mtaka RC simiyu ndo safi kabisa
  13. K

    JamiiForums Tanzania msaada wa printer canon imageRUNNER 2318

    Ninaomba msaada nina printer yangu tajwa nikiprint inatoa kazi chafu sana karatasi yote,tatizo linaweza kuwa lini wakuu? ninaomba msaada wa haraka niko na wateja hapa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza ufunguo wa gari

    Inafanyaje kazi mkuu hii nisaidie ili nipate kujua mkuu
Back
Top Bottom