duh pole mkuu!, mwite fundi akufuate ulipo akuchongee...
nakumbuka kuna siku nilipoteza ufunguo wa pikipiki ya mtu aisee, yaani funguo ilidondoka bila mm kujua maana haikuzima, hadi nafika home yaani niizime nakuta ufunguo hakuna loh! sio kuchanganyikiwa kule....nilipanic sana, nikawaza chombo ya mtu nafanyaje...lakini baada ya kutulia kdogo tatizo likatatuliwa kwa mafundi tena kwa gharama ndogo sana wala sikuamini. nikajua nitamnunulia pikipiki mpya mwenye chombo kumbe mambo ni madogo sana yaani. usipanic sana, kwa gharama ndogo unatatua tatizo lako mkuu