Nafasi za ajira muda tume ya Taifa ya uchaguzi NEC

M Mtimbichi

Member
Feb 3, 2019
56
39
#HABARI. NEC WATANGAZA FURSA ZA AJIRA ZA MUDA:

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura.Kwa mujibu wa tangazo la maombi ya ajira hizo lililosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Mabamba Rajabu Moses, Watanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na wasiozidi miaka 45 wametakiwa kuomba.

Kwa mujibu wa tangazo hilo, sifa nyingine za waombaji ni kuwa na elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

“Awe na uwezo wa kutambua matatizo ya kompyuta ya hardware na software na kuyatatua” ilisema sehemu ya tangazo hilo na kuongeza kuwa:.“Awe na uwezo wa ku-istall programu za kompyuta na kutoa msaada wa kuifundi wa TEHAMA kwa watumiaji.”

“Awe hajawahi kutiwa hatiani kwa makosa ya jinai na awe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yenye usimamizi mdogo.”

Sifa nyingine za ziada za kazi hiyo zimetajwa kwenye tangazo hilo linalopatikana kwenye Tovuti ya NEC ya www.nec.go.tz na mitandao ya kijamii ya NEC.
 
Wameweka tangazo ambalo halijakamilika wanaogopa litakuwa wazi wa wengi mamilioni wako mtaani Tz bwana hadi wanaamua sasa kuweka mtangazo uchochoroni ngoja tuone kama wadau hawatayaona
 
Poa ngoja tujaribu fursa hiyo

#HABARI. NEC WATANGAZA FURSA ZA AJIRA ZA MUDA:
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura.Kwa mujibu wa tangazo la maombi ya ajira hizo lililosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Mabamba Rajabu Moses, Watanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na wasiozidi miaka 45 wametakiwa kuomba.
Kwa mujibu wa tangazo hilo, sifa nyingine za waombaji ni kuwa na elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
“Awe na uwezo wa kutambua matatizo ya kompyuta ya hardware na software na kuyatatua” ilisema sehemu ya tangazo hilo na kuongeza kuwa:.“Awe na uwezo wa ku-istall programu za kompyuta na kutoa msaada wa kuifundi wa TEHAMA kwa watumiaji.”
“Awe hajawahi kutiwa hatiani kwa makosa ya jinai na awe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yenye usimamizi mdogo.”
Sifa nyingine za ziada za kazi hiyo zimetajwa kwenye tangazo hilo linalopatikana kwenye Tovuti ya NEC ya www.nec.go.tz na mitandao ya kijamii ya NEC.
[/QUOTE]
 
Tubebe na Kadi zetu za CCM kabisa au?
 
vp uandikishaji wenyewe unaanza lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom