Recent content by karare

  1. karare

    JamiiForums Tanzania PHOTO BEST APP

    WADAU MSAADA TAFADHALI ni app gani nzuri ya kung'arisha picha ambayo imechafuka/imepigwa na simu ambayo camera yake haitoi photo vizuri?
  2. karare

    JamiiForums Tanzania Naomba Muongozo wa kuandaa barua ya kukata rufaa kwa waliokosa mkopo

    chuoni tumeambiwa tuandike barua kwa sisi ambao acount zetu hazina link ya kuapeal online,, ndo wamesema heslb wametoa mwongozo huo
  3. karare

    JamiiForums Tanzania Naomba Muongozo wa kuandaa barua ya kukata rufaa kwa waliokosa mkopo

    Naomba mnisaidie Kichwa cha Habari kinachofaa kuandika kwenye barua ya rufaa kwa waliokosa mkopo. Msaada tafadhali
  4. karare

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kupitia hali kama hii ninayopitia hapa India njooni mnishauri

    kati ya india na china ni nchi ipi inafaa kwa mtanzania kwenda kusoma?
  5. karare

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    kama umepata mkopo kwenye acount kunaandikwaje?
  6. karare

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    bora watoe majina maana hata sielewi
  7. karare

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    mkuu kama umeta mkopo kwenye acount unaambiwaje?maana yang imeandikwa wait for allocation
  8. karare

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    kwenye acount yangu imeandikwa wait for alocation ndo imekuaje apo..... msaada plz
  9. karare

    JamiiForums Tanzania Kuhusu marekebisho ya maombi ya mkopo

    ingia kwenye acount yao ya heslb utaupata
  10. karare

    JamiiForums Tanzania Kuhusu marekebisho ya maombi ya mkopo

    mwongozo umeshatoka.
  11. karare

    JamiiForums Tanzania SHULE ZA A LEVEL PRIVAZE ZA GHARAMA NAFUU

    mkuu kwani kawawa bado wana apply???
  12. karare

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo mbalimbali walalamika matokeo kutopelekwa NACTE

    anateteaje maovu ya ccm?
  13. karare

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo mbalimbali walalamika matokeo kutopelekwa NACTE

    mtihani si kuandika na kupata GPA ya 5,,, bali mtihani ni kufanya na kufanikiwa kwa kile unachokitenda kwa asilimia kubwa..
  14. karare

    JamiiForums Tanzania Watu mko wapi?

    wadau,, kuna tangazo nalionaga TBC linasema "WATU MKO WAPI? 03-09-2019" wadau naomba mnieleweshe ilo tangazo lina maanisha nini na iyo tarehe kutakua na nin???
Back
Top Bottom