Yaani ni ajabu sana, walisema hili zoezi ni la siku nne saivi siku mbili zimekatika bila mwongozo wwte huu nao ni uhuni tuanii awaa bodii ata sjui inakuaje au ndo wanatutemaa kiivo asee mana siku ya pili ii ata hakuna muongozo wowote jinsi yakufanya mabadiriko
Aliye andika hayo maneno hapo ni form six leaver au ni std four leaver.... Eti "anii awa bodi" kama vipi rudi kaanze std one ujifunze mwandiko kwanzaanii awaa bodii ata sjui inakuaje au ndo wanatutemaa kiivo asee mana siku ya pili ii ata hakuna muongozo wowote jinsi yakufanya mabadiriko
Kwann?nilivyo ambiwa kua kama jina lako halijatokea kwenye list ile ya incomplete we subir mwakan tu ndyo mana kuna ishu kama ya estate☝☝☝
Msaada tafadhali.......Kwann inandka ivo wakat mda bado.View attachment 1221608
sijui kakaKwann?
ID ya mdhamini wako unascan unai uploadHivi Guarantor Identification inakuaje?
Sasa hapa kakosea nini mkuu ?kuna dogo kakosea ku apload page2 kaprint kasain na confirm Baada ya kujaza upya.