Watu mko wapi?

Watu mko wapi?

karare

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
31
Reaction score
8
wadau,, kuna tangazo nalionaga TBC linasema
"WATU MKO WAPI?
03-09-2019"
wadau naomba mnieleweshe ilo tangazo lina maanisha nini na iyo tarehe kutakua na nin???
 
wadau,, kuna tangazo nalionaga TBC linasema
"WATU MKO WAPI?
03-09-2019"
wadau naomba mnieleweshe ilo tangazo lina maanisha nini na iyo tarehe kutakua na nin???
Lipo pia Channel Ten, lilianza na mtoto wa kike sasa ni mtu mzima.
 
Kwani wanatangaza wakiwa wamevaa nguo za rangi gani?

Isije kuwa wanaalikana kufanya maandamano kwenda south Africa kuleta Airbus yetu sababu wale jamaa kila mmoja na tamko lake sijui hata simu hawapigianagi.........!
 
Nahisi Bongo Movie na Vituko Vyao! Yaani hata Hawaeleweki, akili Ndogo za Tanzania hizi. Eti tunataka Kujilinganisha na Watasha? Hakuna Jambo tukafanikiwa Bongo!
 
Mkuu..hiyo ni Tamthilia mpya ya Bongo movie inakuja muda si.mrefu kwa hiyo kaa Tayari
 
wadau,, kuna tangazo nalionaga TBC linasema
"WATU MKO WAPI?
03-09-2019"
wadau naomba mnieleweshe ilo tangazo lina maanisha nini na iyo tarehe kutakua na nin???
Keep waiting mkuu..ni moja ya thrilling series tamu sana from tz,subir bado sku chache.
Itachkua nafasi ya huba kwa rating
 
Pia dstv naona kila muda maisha magic bongo wanatangaza ila sijajua ni nini kinaenda happen
 
Back
Top Bottom