Recent content by Karao

  1. Karao

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

    Maslahi ya utu siku hizi hakuna , imebaki maslahi ya pesa , bora urafiki /upendo ufe lakini mkate usiingie mchanga
  2. Karao

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tofauti gani ya maisha ya Kenya vs Tanzania na Uganda?

    Mtu akishindwa kuishi Tanzania basi asubiri maisha ya mbinguni tu
  3. Karao

    JamiiForums Tanzania Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

    Hapo mi naona mwenye tatizo ni wewe, mwenzako anakula vyake wewe unaumia nini bwasheeeee
  4. Karao

    JamiiForums Tanzania Kijana huna wajibu wa kumhudumia Mchumba au mpenzi wako. Usiwe Mjinga

    Ila ukweli wanaume katika jambo hili tumeanguka sana na lina changia kukwamisha maendeleo yetu , na jinsi wanawake walivyo, ukimhudumia yeye wala hataangaika na mambo yako ya msingi kimaemdeleo , yeye atajali kupewa huduma basi
  5. Karao

    JamiiForums Tanzania Kijana huna wajibu wa kumhudumia Mchumba au mpenzi wako. Usiwe Mjinga

    Ba basi hakuna haja kuoa, si unaweza nunua popote
  6. Karao

    JamiiForums Tanzania Faida ya majani ya nanaa Health Benefits of Mint

    Huu mjani kweli mzuri kwa afya,
  7. Karao

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Sio mimi nimaandiko, atakaye ilaani israel atalaaniwa , atakaye ibariki atabarikiwa
  8. Karao

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanaoishi kwenye nyumba za kupanga wanazeeka haraka kuliko waliojenga

    Kumbe ndio maana natokwa mvi kabla ya umri
  9. Karao

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa kiroho hunuka kuliko uvundo wa maliwato

    Mshana ,Upewe u Doctor , mambo uliyo andika ni mambo mazito mno na ndio chanzo cha maadili kuporomoka pia ni chanzo cha umasikini na watoto kukosa malezi bora pia jamii kwa ujumla kuwa varaganti,
  10. Karao

    JamiiForums Tanzania Hisia za kimapenzi zimepotea na dharaulika sana na wanawake mpaka nakosa raha

    Pole sana aisee jamaaa,
  11. Karao

    JamiiForums Tanzania Hisia za kimapenzi zimepotea na dharaulika sana na wanawake mpaka nakosa raha

    Tatizo lako wewe ni rahisi sana lakinilinahitaji utulivu sana wa hali ya juu, Kutokana na maelezo yako na chanzo cha tatizo ambalo linakusumbua hivi sasa dawa yakeiliurudi kwenye haliya kawaida niku SAMEHE , MSAMEHE ALIYEKUTENDA, msamehe kabisa ona kama haja fanya makusudi kukutenda nibahati...
  12. Karao

    JamiiForums Tanzania Nina makovu yaliyobaki kwenye kichwa cha uume

    Pole aisee jamaaa
  13. Karao

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wazo zuri sana , utawaokoa wengi huko ,
  14. Karao

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Kwahiyo wewe jamaa kazi yako nikutongoza wanawake tu hadi wake za watu, angalia sana utaumia,
Back
Top Bottom