Hisia za kimapenzi zimepotea na dharaulika sana na wanawake mpaka nakosa raha

Kuna professionalism hata katika sex activities, Wapo wanawake wenye hio kitu watafute wakuamshe hisia zilizo kufa. Kwa Sasa unahitaji hao, hawa wa kawaida tuachie sisi wenye hisia hai.
Kuna kungwi akikutana nao tuu, yaani atapona roho na nafsi itakuwa nyeupee peeee na hatorudia kulaumu laumu
 
Nimewahi kusex naye na nilikua normal sana, tatizo limeanza nilipo pigwa chini nilikua ni mtu wa life style mbaya na mwenye msongo wa mawazo. Nimepata mabint kadha wa kadha ila hisia nakuta sina na nikiforce sana basi kibishi tuu..

Miez hii mitano iliyopita ndiyo naona nimepoteza hisia kabisa baada yakukutana na mabinti watatu tofauti yani hisia hakuna na yote hayo najua tuu ni mapito niliyopita
Yawezekana alichukua vitu vyoko akakuendea kwa mganga. Jaribu kumbembeleza ukasex nae ikikubali itakuwa amefanya hivyo. Kuna uwezekano mkubwa pia asikubari kama lengo lake ni kukukomesha. Kuna rafiki yangu pia alifanyiwa hivyo mimi ndie alieniambia kwa mdomo wake mwenyewe yaani mdudu wake hakuweza kupanda mlima kabisa na alikuwa vizuri tu. Jaribu hospital ikishindikana nenda kwa waganga wa kienyeji
 
Ndugu zangu, habari yenu wakuu.

Ndugu yenu mwenye life style mbaya na mwenye kujikatia tamaa baada ya kusomesha mtoto wakike kwa lengo la kumuoa na hatimaye kunipiga chini nilijikuta nikichukia sana wanawake na mweye msongo mkali wa mawazo na huzuni tele moyoni.

Akili na nafsi yangu viliathirika pakubwa sana , sasa nimejitahidi ila hisia za kimapenzi zimepotea kabisa naombeni ushauri maana watoto wakike wananidharau kweli na kujitenga nao siwezi.

Ni Miezi mitano sasa imepita najikuta Nimepoteza uwezo wa kihisia na mwanamke hata akivua nguo naona kawaida kabisa na hakuna kinachoendelea , nipo nipo tuu sahivi.

nimesha laumiwa na wanawake wapatao watatu (03) mpaka sasa na wengine wananiuliza hivi wewe upo sawa kweli. Na wajibu nipo sawa ni kuna mambo tuu hayajakaa vizuri

wanashangaa sana nipo nipo tuu sieleweki yani hata wakinipapasa au kunivulia nguo akili inakua mbali sana kimawazo asiye na raha wala kusisimka kimapenzi kwa lengo la kunyandua.

Nipo hapa kuomba ushauri wenu kwani kwa upande wangu nimeshajitahidi sana kucontroal mawazo ila hisia za kimapenzi ndiyo bado hazijarudi kama awali wakuu.

Kama kuna namna ya kufanya hisia zangu ziamke kama hawali naombeni msaada wakuu.

Hii hali inanifanya nianze kuwa kwepa sana wanawake japo naona siyo sawa kufanya hivyo.

Anaye fahamu jinsi ya kurudisha hisia za kimapenzi zilizopotea au kuathiriwa na msongo mkali wa mawazo anisaidie wakuu.

Asanteni
Ndugu yangu kwanza pole kwa kuachwa na mtu uliyemgharamia ada za chuo na matumizi angali sio mkeo,au mwanao,....sasa twende kwenye tatizo lako la akili au saikolojia liliokupata,,,,: kuna muda labda unawaza kwamba labda una mapungufu ya maumbile ndio maana kakukimbia,la hasha mwache aende we kinachokuuma sio kwamba ameenda,bali ni zile gharama alizokugharimu maana palipo na hazina ya mtu ndipo na moyo wake ulipo,jipe muda kidogo achana na mambo za kukurupukia kila mwanamke kwa sasa,kula vizuri kunywa maji vya kutosha pata usingizi,halafu sasa iaminishe akili yako kwamba wewe ni Rijali,haijalishi maumbile yako bali iaminishe akili kwamba unaweza kulala na mwanamke yeyote kwa starehe yako binafsi na sio mtu mwingine,na unapokua na mwanamke chumba yaendeshe mapigo ya moyo wako pasipo hofu ya kuogopa kushindwa,hao madem unawashindwa kwakuwa hisia nyingi uliwekeza kwa huyo mporipori....usiruhusu demu akuvulie nguo kwanza wewe ndio umvue kuiandaa akili yako kwamba unaweza tena,utakapo weza tu siku hiyo ya kwanza basi itakua ni mwendelezo wa kufanikiwa kwako,na utafanya zaidi ya awali na kwa uzoefu niamni.......nilishapitia situation ka hio na nilifanikiwa zaidi sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu nitajaribu
 
Psychological disorders kama anxiety, depression, PTSD, phobia zinaweza kukupotezea hamu kabisa. Na hizi disorders zinatokana na kukumbwa na matatizo kama kunyanyaswa, kukataliwa, kutengwa, kukosa vitu ulivyotegemea au kudhania utavipata/unastahili.

Nahisi shida yako Iko kichwani, ondoa negativity Kwa wanawake wote kwasababu ya mwanamke mmoja, samehe na endelea na maisha yako utajisikia huru najua hamu itarudi tu.

Japo kwenye kusomesha ulizingua, hili swala tunaonywa kila siku.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Asante sana mkuu , ubarikiwe sana nitafanyia kazi.

Ni kweli akili imepoteza hisia sana za kimapenzi na mwanamke ..
 
Yawezekana alichukua vitu vyoko akakuendea kwa mganga. Jaribu kumbembeleza ukasex nae ikikubali itakuwa amefanya hivyo. Kuna uwezekano mkubwa pia asikubari kama lengo lake ni kukukomesha. Kuna rafiki yangu pia alifanyiwa hivyo mimi ndie alieniambia kwa mdomo wake mwenyewe yaani mdudu wake hakuweza kupanda mlima kabisa na alikuwa vizuri tu. Jaribu hospital ikishindikana nenda kwa waganga wa kienyeji
Hapana hapo tatizo lipo kichwani kwa jamaa,na hapo itakua hata akilala na hao madem anavutia hisia kwa huyo demu,inabidi tu aiaminishe akili

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako wewe ni rahisi sana lakinilinahitaji utulivu sana wa hali ya juu,

Kutokana na maelezo yako na chanzo cha tatizo ambalo linakusumbua hivi sasa dawa yakeiliurudi kwenye haliya kawaida niku SAMEHE , MSAMEHE ALIYEKUTENDA, msamehe kabisa ona kama haja fanya makusudi kukutenda nibahati mbaya , usikumbuke makosa aliyokutenda tena , weka moyo wako kwenye haliya kuachia maumivu aliyo kusababishia , mtakie maisha mema na mtu aliye naye, anza maisha yako upya ,

Usijiingize kwenye mahusiano kipindi hiki, acha mwili wako na moyo ujiponye wenyewe bila kutegemea uhusiano uponye maumivu uliyo sababishiwa na mtu mwingine ,

Hakika ukifanya hayo basi amininakwambia utapona na utakuwa imara sana kwenye uhusiano mwingine utakao anzisha upya
 
Psychological disorders kama anxiety, depression, PTSD, phobia zinaweza kukupotezea hamu kabisa. Na hizi disorders zinatokana na kukumbwa na matatizo kama kunyanyaswa, kukataliwa, kutengwa, kukosa vitu ulivyotegemea au kudhania utavipata/unastahili.

Nahisi shida yako Iko kichwani, ondoa negativity Kwa wanawake wote kwasababu ya mwanamke mmoja, samehe na endelea na maisha yako utajisikia huru najua hamu itarudi tu.

Japo kwenye kusomesha ulizingua, hili swala tunaonywa kila siku.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu.. na shida ipo kwenye akili ndiyo imepelekea kupoteza hamu kabisa ndugu
 
Tatizo lako wewe ni rahisi sana lakinilinahitaji utulivu sana wa hali ya juu,

Kutokana na maelezo yako na chanzo cha tatizo ambalo linakusumbua hivi sasa dawa yakeiliurudi kwenye haliya kawaida niku SAMEHE , MSAMEHE ALIYEKUTENDA, msamehe kabisa ona kama haja fanya makusudi kukutenda nibahati mbaya , usikumbuke makosa aliyokutenda tena , weka moyo wako kwenye haliya kuachia maumivu aliyo kusababishia , mtakie maisha mema na mtu aliye naye, anza maisha yako upya ,

Usijiingize kwenye mahusiano kipindi hiki, acha mwili wako na moyo ujiponye wenyewe bila kutegemea uhusiano uponye maumivu uliyo sababishiwa na mtu mwingine ,

Hakika ukifanya hayo basi amininakwambia utapona na utakuwa imara sana kwenye uhusiano mwingine utakao anzisha upya
Asante mkuu
 
Kuna yule kungwi wa mapenzi sijui anaitwa nani wa mamtoni juzi kati amekimbiwa na mke,kwahiyo mkuu relax mapenzi usiyape umuhimu mkuu

Kuna mshikaji tulimpoteza kwa style kama hii yako,alisomesha mwanamke kwa kutegemea waje waoane,ila mwisho wa siku mwanamke baada ya kupata ajira ilitokea siku wakazinguana na jamaa vibaya,jamaa hakuvumilia dharau akamzibua,manzi akampiga jamaa ndichi,jamaa ili amalize ule msala ilibidi auze kiwanja,ila baada ya hapo alikua mwenye stress akashindwa kuzingatia mambo ya kazi,siku ya siku anaweza kuibuka maeneo ya kazini lakin yupo vagarant, siku ya siku tunapewa taarifa jamaa amefariki,jaribu ku move on itakusaidia usipofanya hivyo tunakupoteza soon
 
Back
Top Bottom