Watanzania tuna kasoro, Mtu hajajitokeza yeye kusema anataka Urais, tumeambiwa watu wana mwandaa, tunakimbilia kumshambulia yeye kutokana ana utendaji wake akiwa Waziri. Haki ya kugombea ni haki ya kila Mtanzania, tuheshimu Uhuru na Mawazo ya watu wengine, tunatumia vibaya uhuru wetu kuwadhania...