Recent content by Kapwil

  1. Kapwil

    Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

    Yeye mwenyewe alikuwa jambazi sema aliwachukia majambazi waliomtangulia ujanja
  2. Kapwil

    Msigwa: Kupatwa na matukio sio kigezo cha kuwa Rais

    Sifa zote hizo Samia .anazo mkuu
  3. Kapwil

    Msigwa: Kupatwa na matukio sio kigezo cha kuwa Rais

    Ndio Rais sasa na Mwenyezi Mungu ndio amepitisha na kupanga mkuu
  4. Kapwil

    Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

    Huko nyuma haikuwepo kwa mfano jk alikuwa anahamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndii maana watu walilalamika sana kipindi cha jk kuwa mtu anahsribu huku anamuhamishia huku alikuwa anajua kuwa akiteuwa mtu mwingine ataweka mlundikano wa maofisa wengi.magu ndio aliharibu sana
  5. Kapwil

    Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

    Ila we jamaa vp aliowatumbuwa wote wale unafikiri walishushiwa mishahara walimuwa wanaendelea kulipwa mishahara ya vyeo vyao
  6. Kapwil

    Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Matatizo gani yaliyotokea.nchi iko salama mkuu
  7. Kapwil

    Viongozi wa Serikali sasa kukopeshwa magari wayagharamie wenyewe

    Umesikiliza vizuri hotuba?viongozi kama mkuu wa wilaya na wanaofanana na hao wao wataendelea kuhudumiwa na magari ya serikali
  8. Kapwil

    Mkoa wa Kigoma lini barabara yenu itakamilika kiwango cha lami kutoka Nyakanazi hadi Kigoma

    Mpanda sasa hiyo barabara ina mkandarasi kwa sasa ameaza kujenga kambi mkuu
  9. Kapwil

    Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Kwa uzuri ulionao kwa nn nisikununue?
  10. Kapwil

    Huu ndio muonekano wa David Banda (Mtoto wa Mwanamuziki Madona)

    Nimecheka sana mkuu avute vute kidogo eti
  11. Kapwil

    Naomba kufahamishwa hili kuhusu JKT

    Hakuna haja ya kwenda makao makuu yeye aende kikosi chochote akaripoti atapokelewa Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
  12. Kapwil

    Naomba kufahamishwa hili kuhusu JKT

    Kikosi chochote atakachotaka kwenda anapokelewa safi kabisa aende Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom