It's simple. Ukila chakula lazima uvimbiwe? au hata kushiba? Uongo, umbea, usengenyaji nk hunatokana na kusema au kuzungumza. Kwa hiyo kusema au kuzungumza ni dhambi? Hivyo tusiseme wala kuzungumza? Watenda maasi wawe wamelewa au hawajalewa, ( majambazi, waizi, wauaji, waasherati, wazinzi and...