BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Kuna watu Mungu atawalipa mema na atawalinda kwa matendo yao ya kipekee
VULTURE if you ask me!!MUNGU akubariki kwa juhudi zako kubwa unazoonyesha
Duh, kwa hiyo suala la umafia upande wa utalii mlikuwa mnaigiza kumsingizia?? Aiseeee!Najua wewe sio mbaya lakini chama chako ndo Tatizo!
Vidole havilingani. Acha mawazo mgandoMadaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Kwa sababu kuna shirika la Madakitari wa Marekani lililojitolea kugharamia matibabu yao. Hakuna sheria inayolazimisha Mtanzania kutibiwa Muhimbili. Ndio maana hata Lissu kaenda Nairobi bila kipangamizi baada ya chama chake na familia kuamua hivyo. Hata hivyo watoto wale wasingepata wafadhili familia zao ndio zingebeba gharama za matibabu yao iwe hapa nchini au nje ya nchi. Kitu ambacho tunajitoa ufahamu ni kutotaka kukubali kuwa mkataba alionao Lissu ( na wabunge wote) kupitia bima yao ndio uliobainisha hospitari ambazo wabunge wanatakiwa kutibiwa. Chama na familia ya Lissu kwa sababu walizoziweka wazi wameamua kugharamia matibabu ya Lissu wao wenyewe nje ya utaratibu wa Bunge. (Tunataka Bunge lifanye nini juu ya hili?)Hope you are up on your mind!!!! Jamani tusiandike tuu kwa kuwa tunajua kuandika, If thai is what your heart speaks, it is fine. Nikuulize, wale wanafunzi wa Lucky Vicent ya Arusha, mbona walipelekwa Marekani wasitibiwe MUHIMBILI?
Mej Gen Mstaafu mlisema mnampeleka South Africa kwa Matibabu zaidi....Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Hoja iliyopo mezani ni huyu mtoa post kudhani kwamba kama Nyalandu atanyakuliwa kutokana na makando kando yake pale maliasili (kama yapo) yeye anatuaminisha kwamba itakuwa ni kwa sababu ameonesha ukaribu na Lisu kwa kutaka kumsafirisha Lisu kwenda kupata matibabu, Hili sikubaliani nalo na ni mawazo mufilisi, kwanza hata huyo Lisu akisikia Nyalandu anachunguzwa kama kweli ni mzalendo ataipongeza serikali kwa kuwa wao ndio walikuwa wanapiga kelele kuhusu wizara hiyo wakati wa Nyalandu,au mnasahau sauti walizopaza kwamba twiga kapanda ndege? soma post yangu kwa makini utaelewa argument yangu, usilete ushabiki,siko kisiasa mkuu
Swali zuri sana mkuu, ila Lissu anatumika na wanasiasa akiwemo na uyu Nyalandu mkuu.Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Wacha hiyo, mbona hata tizi dume tulipeleka US na Muhimbili ipo!!!Hope you are up on your mind!!!! Jamani tusiandike tuu kwa kuwa tunajua kuandika, If thai is what your heart speaks, it is fine. Nikuulize, wale wanafunzi wa Lucky Vicent ya Arusha, mbona walipelekwa Marekani wasitibiwe MUHIMBILI?
Kwani huyu Meja bado anatibiwa Lugalo?Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Kwani we hujui kama lissu kapigwa risasi mkononi miguuni na tumboni? Nyalandu katoa taarifa gani ya mgonjwa ambayo hata ww imekushtua?kasema lissu anaumwa tezi dume? Nyalandu yuko sahihi kabisa kwa hilo na unajua vipi kua hajaongea na familia?maana umesema hajui mambo ya kidaktar saivi wasema hajaongea na familia katoka tu na kiherehere chake na kuongea maneno duuuh ebu km una chuki nae kwny maswala mengine nakuomba uziweke pembeni kwnye hili swala mr
Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Mungu azidi kumpiganiaTumekuwa Nairobi Hospital tukisubiri madaktari watoe ripoti ya mwenendo wa matibabu ya Mh Tundu Lissu kwa minajili ya kuwapatia madaktari bingwa wa Marekani na kuona uwezekano wa Mh. Tundu Lissu kupatiwa rufaakwa matibabu zaidi NJE.
Lakini bado kalamu zao ni nzito kuandika ripoti hii siku ya tatu tangu tuahidiwe.
Binafsi, nimerudi Nairobi tangu jana kushiriki maandalizi ya uwezekano wa kumhamishia Mh Tundu Lissu Marekani kwa ajili ya huduma yenye ubora zaidi, endapo MADAKTARI wa Nairobi Hospital wangeridhia.
Kesho asubuhi nitarejea hospitalini kusikiliza kauli ya mwisho ya MADAKTARI kuhusu RIPOTI hiyo.
Umemuelewa vyema aliloliongea??Hebu rudi umsome vizuri ndipo utanielewa
Tumekua Nairobi na siyo nmekua
Tumesubiria na siyo nimesubiria
So mbn kiherehere hakipo hapo au wingi ndo kiherehere?
Kwani huyu Meja bado anatibiwa Lugalo?