Recent content by Kapaya3

  1. K

    Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

    Ni kweli km JAMAA yupo vizuri unaweza kupata aibu ukiwa na boxer, maana utashangaa kitu kimechomoza tu. Lakini kama umepiga chupi, unampindisha tu kwa pembeni anatulia. Zamani kulikuwa na chupi zile VIPI,zilikuwa zinasaidia.....
  2. K

    Mhadhiri Chuo Kikuu UDOM auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe kwa wivu wa mapenzi

    Acha kuamini story za mtaani eti udom ni mteremko. Waulize wanaosoma hapo udom! na ndyo maana kwa mwaka huu kitaifa kimekuwa chuo cha pili kwa ubora hapa TANZANIA baada ya UDSM. Put it in your mind,kwa hali ya sasa inavyoendelea hapo chuoni,ndani ya miaka si mingi UDOM itakuwa the first hapa Tz...
  3. K

    Jerusalem kwa mujibu wa BBC

    Je umeisoma hiyo taarifa ambayo BBC wameelezea kwa ufupi kuhusu Jerusalem na historia ya hizi dini,uyahudi, ukristo na uislam? Kama utakuwa umesoma na fikra zako ukaziweka huru utakuwa umepata hata kamwanga kidogo au kama unaona uvivu kusoma na ukabaki na misimamo au mawazo uliyofundishwa au...
  4. K

    Wenye Division III wamepata chuo?

    Acha kukariri, fanya simple survey upate uhalisia wa UDOM na selection ya mwaka huu. Kweli UDOM ni kikubwa na kinahitaji watu lkn kimezingatia vigezo ndyo maana hata wenye division one wamepigwa chini.
  5. K

    Mlitudharau na kutucheka leo mnatuona mashujaa!!

    Nani kakudanganya ni mali ya WOTE? Hiyo ni lugha KISIASA TU!
Back
Top Bottom