Recent content by Kapande

  1. Kapande

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi Tanzania ni butu

    Upo sahihi
  2. Kapande

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Upo vizuri
  3. Kapande

    JamiiForums Tanzania Mch. Francis Mbalase: Kama mnajua kuombewa mjue pia na kutubu

    Asante
  4. Kapande

    JamiiForums Tanzania Mch. Francis Mbalase: Kama mnajua kuombewa mjue pia na kutubu

    Ni dhahiri kabisa kwa usemayo mkuu
  5. Kapande

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ni moja kati ya hazina chache tulizotunukiwa Tanzania

    Hivi sasa hivi hamna mateja?Hawatumii madawa?
  6. Kapande

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde CCM!, Kakobe Has Powers!, Akisema CCM ni adui wa Mungu, 2020 CCM Haitapata Kura Milioni 10 za Walokole!.

    Kiburi kipo bse CCM haitegemei kura kuwa madarakani
  7. Kapande

    JamiiForums Tanzania Magufuli anachekelea matumizi ya watoto wadogo katika shughuli za kichama

    .....Hujamuelewa mtoa mada.....Magufuli mwenyewe wakati anakabidhiwa uenyekiti wa chama alikataza matumizi ya watoto kwenye siasa..Upo!
  8. Kapande

    JamiiForums Tanzania Msaada TCL FLAT SCREEN LIMEGOMA KUWAKA.....

    Upo wapi
  9. Kapande

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Polisi dhidi ya Mwangosi; mwenye kesi nyani na prosecutor ngedere?

    Mm nawaza tu....... kwanini Mtuhumiwa alikuwa anafichwa sura? Inawezekana pakawa na mshitakiwa hewa , mhukumiwa hewa na pasiwe hata atakayetumikia kifungo hicho.....Mtuhumiwa huyu alikuwa na nn spesho cha kufichwa sura ambacho watuhumiwa wengine wa mauaji hawana? Imani ndogo sana kwenye mwenendo...
  10. Kapande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikinyoa nywele za siri kama nipo safarini inakua ugomvi kwa mke wangu

    Ukinyoa pasipo yeye kuona anahisi umenyolewa na mwanamke mwingine. ..Kukufuta na leso yake bila shaka ndo nguo maalumu aliyoiandaa ....Kwa uzoefu wangu mdogo ni hivyo sidhani kama kuna ushirikina mkuu
  11. Kapande

    JamiiForums Tanzania Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

    Mimi si Msabato lakini maumbile yetu yanatosha kutuambia baadhi ya mambo......je pombe si kichocheo cha dhambi?Pombe ni sumu kubwa na ni chanzo cha magonjwa kama kansa ikitumika kupita kiasi.. Sipo kumtetea ndodi isipokuwa tusiwe vipofu kwa kutetea maovu....Pombe haifai
  12. Kapande

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yafanyika kwenye cheka za Vodacom

    Bye bye Vodacom, wezi hawa watu mmh, kweli voda inamilikiwa na wakina nyooka aisee. Wanatafuta za 2015 TCRA mpo au?
Back
Top Bottom