Mabadiliko makubwa yafanyika kwenye cheka za Vodacom

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Baada ya mtandao wa vodacom kuona matumizi ya internet yanaongezeka nchini wameamua kupunguza kifurushi cha mb, ili kutimiza Malengo ya mitandao ya simu ya kuendelea kuvuna mapesa ya wizi kwa wanainchi

Hali hiyo yaendelea kuongezeka katika mtandao wa vodacom, kwa sasa kifurushi cha siku kwenda mitandao yote cha tsh 889 unapewa 18dk, 500sms,10mb kwa maelezo zaidi kwa watumiaji wa vodacom angalieni mabandiliko hayo kwa kupiga *149*01#.
 
ni kweli..nimeingia huko ili nipate bundle..lakini nimeghairi kwanza, nilichokiona kimenitoa baru...Hivi ni nani anaye regulate watu hawa?
 
Bye bye Vodacom, wezi hawa watu mmh, kweli voda inamilikiwa na wakina nyooka aisee. Wanatafuta za 2015
TCRA mpo au?
 
Huu ni mwezi wa3 sasa hao Voda tunasikilizana kwenye bomba tu.
 
Baada ya mtandao wa vodacom kuona matumizi ya internet yanaongezeka nchini wameamua kupunguza kifurushi cha mb, ili kutimiza Malengo ya mitandao ya simu ya kuendelea kuvuna mapesa ya wizi kwa wanainchi

Hali hiyo yaendelea kuongezeka katika mtandao wa vodacom, kwa sasa kifurushi cha siku kwenda mitandao yote cha tsh 889 unapewa 18dk, 500sms,10mb kwa maelezo zaidi kwa watumiaji wa vodacom angalieni mabandiliko hayo kwa kupiga *149*01#.

Hayaaaaaa.. Mamaaaaaaa.. Leo nimenunua hicho kifurushi na sikuangalia vizuri.. Nilipoona dakika 18, nikaendelea na mambo mengine....
Baada ya dakika 20 nikapokea sms kwamba mb zimeisha.

Basi nikajua ni whatsapp kwa sababu kuna group hilo lina chat balaaa Kumbe wamenifukunyukuuuu ? Sina hamu nao tena.
 
Tigo nao ni hivyo hivyo Tsh 649 unapata 14 badala ya 15 za awali, 50 badala ya 100 za awali.
 
Futa delate kabisa gazati la mwanainch mimi nitakuwa nanunua mwanasport na championi,
 
Baada ya mtandao wa vodacom kuona matumizi ya internet yanaongezeka nchini wameamua kupunguza kifurushi cha mb, ili kutimiza Malengo ya mitandao ya simu ya kuendelea kuvuna mapesa ya wizi kwa wanainchi

Hali hiyo yaendelea kuongezeka katika mtandao wa vodacom, kwa sasa kifurushi cha siku kwenda mitandao yote cha tsh 889 unapewa 18dk, 500sms,10mb kwa maelezo zaidi kwa watumiaji wa vodacom angalieni mabandiliko hayo kwa kupiga *149*01#.

Shilingi 889, dk 18, 10MB???? 10MB??? Na hapo lazima ununue ya buku au mia tano 2, kisha inayobaki shing 111 wanaifyeka wao. Sijajua kama airtel nao wamebadili leo, ila nimenunua kifurushi cha 500 leo dk 11 mitandao yote, sms 300, na 125mb. Kama ni kweli voda hawako serious! Kwanza jana voda wameniibia 230 tena, hawafai.
 
Shilingi 889, dk 18, 10MB???? 10MB??? Sijajua kama airtel nao wamebadili leo, ila nimenunua kifurushi cha 500 leo dk 11 mitandao yote, sms 300, na 125mb. Kama ni kweli voda hawako serious! Kwanza jana voda wameniibia 230 tena, hawafai.

Yaani nimeona hivyo leo nikanunua line ya airtel fasta! Huu upuuzi.
 
Shilingi 889, dk 18, 10MB???? 10MB??? Na hapo lazima ununue ya buku au mia tano 2, kisha inayobaki shing 111 wanaifyeka wao. Sijajua kama airtel nao wamebadili leo, ila nimenunua kifurushi cha 500 leo dk 11 mitandao yote, sms 300, na 125mb. Kama ni kweli voda hawako serious! Kwanza jana voda wameniibia 230 tena, hawafai.

Wanajua kuwa wengine ni Walevi wa MB... Zikiisha Lazima Uongeze..
 
Back
Top Bottom