Huyu DED ni mmoja wa wakurugenzi smart anajua nini anachokifanya Msukuma ye apige siasa tuuu kama alivyozoea kuchongea watendaji kwa mamlaka za uteuzi....Kama mko makini mtakumbuka ishu ya Mkurugenzi mmoja hivi hapo geita Msukuma alimshutumu kwamba amenunua li VX bila kufata taratibu....jamaaa...
Mwisho wa siku wewe ndo mwolewaji na umeshamua iwe hivyo sasa unalileta huku iweje mana mpaka mnafika hapo mmeshazini vya kutosha...ila hao jamaa wana instict za ukicheche balaaa...na wewe ukiwa kicheche jiandae mikanda ya kutosha tuuu...na adhabu za hapa na pale
Haisaidiii kitu...hatopata jibu mpaka uchaguzi uishe....umeshaambiwa ukishapiga kura nenda kalale nyimbani kwako....unataka nn sasa.???sheria sheria sheria...babake nani.????
Kwanza...ulipokuwa unaandaa mazingira ya uzinzi ulimuuliza mtu humu jf???eti unawapeleka watoto kwa bibi yao??shenzi kabisa ndo mijanamke yakisasa hii...
Muulize kwanza mmeo uone atakupa ushauri gani...then rudi hapa jamvini ulete mrejesho then ndo ntakupa majibu sasa..
Siasa za maji taka.....hakuna lolote hapo...wee umekaaa chumbani kwako ukatengeneza hiyo paylist....mmeishiwa sera mzeee.....huyo aliyepiga picha hiyo paylist aliipiga huku amening'inizwa kitanzani mbna haionekani kwa ukamilifu wake....madocument yakufoji hayo.....tafuteni lengine hilo...
Ninakuhakikishia jenista mhagama anapita kwa kura nyingi tena saa4 asbh....mnatengeneza picha halafu mnasema watu wamechoka...acheni hzoooo........mtaisoma namba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.