Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,924
- 831,397
- Thread starter
- #21
Mwaka huuu mtatengeneza sana story ila ..........................hapa kazi tuuu......
Hamna kitu ukawa wanajitekenya wenyewe na kucheka
Maneno yenu ya kipashkuna na kishankupe ndio yanavyozidi kukiteketeza chama kwakuwa hata kwenye ukweli mnashindwa kukiri na kubaki na mipasho.