Mtoto wa mama wa kambo ananitega

Mtoto wa mama wa kambo ananitega

Do!! sasa nyie mnamshauri amtafune dada yake. Japokuwa kwa mujibu wa maelezo yake ni kama vile huyu jamaa nae amesha zidiwa na hisia za dada yake. Mshinde Shetani hata vitabu vinatwambia. Hata km mama zenu ni tofaut yule ni dada yako.
 
Bila salam nataka niwaeleze mtihani nilionao

Babangu ana wake wawili wote anaishi nao katika nyumba mbili sehemu moja na tunaishi vizuri tu kama familia moja kama mgeni huezi jua jinsi tunavopendana ndani ya nyumba hizi,sasa huyu bimdogo alivoolewa alikuja na mtoto wake wa kike alikua ana miaka kama 8 hivi tumeishi pamoja kama mdogo wangu na nishamwakilisha mzee kwenye vikao shule ya msingi kama kaka wa huyu binti,

Sasa sasahivi kakua na kuvunja ungo na ni mzuri mashaallah yupo form three sasa shule anayosoma ni shule ya kata mi nilisoma kama 5 years back ambayo haipo mbali na tunapokaa na hapo shuleni niliacha CV ya kua mtukutu,handsome na kushobekewa na wasichana na mwisho wa siku mi ndo nilikua katika wanafunzi waliofaulu vizuri sana na kuwashangaza walimu.

Sasa huyu dogo sijui kimemsibu nini lakini siku hizi ananiletea mambo ya mitego mitego sana mpaka namshangaa ukicheki namuona kama mdogo wangu na mama yake kama mamayangu kwa jinsi tulivoishi, dogo amekua mi nikija home basi huyo kajileta mara sijui nimfundishe hiki mara hiki lakini namfundisha anayatega manyonyo yake wazi,mara anisifie nilivopendeza au kunyoa na mimi nashndwa kumkazia sababu yeye anajua siri nyingi zangu kama ashawahi nifumania nakunywa pombe(sisi ni watu wa dini sana)akanikaushianishaleta wanawake home yeye akajua akakausha plus alikuja ndgu yao home nikamla akajua na akakausha.

Sasa kumuekea sura ngumu nashindwa naona akijua atalizua lolote na nikaanza kumkwepa sasa leo kanipa daftari lake et niingalie kazi yake ya essay kama kapatia alafu yeye akaondoka nilichokikuta sikuamini,mtoto huyu nyuma kaandika kama mashairi ya kunisifia na mapenzi ambayo na uhuni wangu sijawahi kuyasikia sijui kayapata wapi nilichofanya nimechana hizo karatasi sasa wadau naombeni ushauri nimfanye nini?Na kwanini mimi?Nini kimemshawishi wakati anajua mimi ni kaka yake japo si wadamu?

Japo mimi napenda papuchi ila ya huyu siwezi sababu namuona ni mdogo wangu na nalinda heshima yangu na nataka nilitatue hili tatizo kimakini zaidi na lisifike kwa wazee lisije likaleta uhasama na akaniharibia na mimi.

Please nawaomba ushauri ki ukweli sina raha

Muulize kwanza mama yake na huyo binti halafu....jibu atakalokupa lolote hapa jamvini sawa....
 
mkuu jaribu kukaa mda mwingi nje ya nyumbani na kutokuonana na mdogo ako na ikitokea mmekutana mlie ngumu na salamu akupe bora zivuje siri za nyuma kuliko kumla dogo act ukaka acha kucheka nae unampa mwanya wewe mwenyewe na ukome kufanya ujinga mbele ake mkuu, sasa kitakachotokea ni kugombanisha familiq izo mbili za babako ...... ka huna pa kwenda njoo kwetu tuwe tunapiga story usiku unarudi kwenu......
 
Sasa umeshasema unapenda papuchi tukushauri nini sasa?
 
Dah mwanangu we Shahrukh khan nn? Mbona una sifa zote? Handsome,mtukutu,unaakili? Au umechanganyia na picha la kihnd miksa mademu wanakushobokea,,ata huyo n demu mana co ndugu yako cha mcng kakamue hyo juic ya machungwa mbalii
 
Back
Top Bottom