Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
naona kama kweli una hicho kichaa,sasa kuulizwa ndio kutukanwa?
Wasipoolewa au wakichelewa kuolewa huwa wanalia sana hawa. Sasa yeye kapata zali anaanza kuleta mbwembwe.
naona kama kweli una hicho kichaa,sasa kuulizwa ndio kutukanwa?
Maana Mungu wetu ni Mungu wa majeshi wenzenu wakiolewa na mwanajeshi huko Israel wanahesabu kwamba wanaikaribia pepo, kwa maana wanaolewa kwa Mume anayemtumikia Mungu!Ndo wanajeshi wenyewe hawa kimbiaaa mdogo wangu
Maana Mungu wetu ni Mungu wa majeshi wenzenu wakiolewa na mwanajeshi huko Israel wanahesabu kwamba wanaikaribia pepo, kwa maana wanaolewa kwa Mume anayemtumikia Mungu!
Huku Bongo mnazinguwa! Imeandikwa Mungu ni Mungu wa Majeshi, Kama vipi si wangeandika tu Mungu wa Ukawa au relwe hivi! Mwambie aende akaolewe TRA tu kama anamaindi sana!
Usiniambie alikuwa anamaanisha proffesion?Profession au kazi ya mtu haina uhusiano na personality ya mtu.
Mhhh waongo hao mm nina mama ang mdg aliolewa na mjeda sasa yule kaka akaaga anaenda kusoma hko kusoma miaka ikaisha mwsho wa ck kumbe anaishi na mwanamke mwngne ana mimba ivo kuwa makin
Hahaha kwani wewe umeelewaje!?
Hebu angalia kwenye mabano alichomaanisha kwenye progression yake.
Usiniambie alikuwa anamaanisha proffesion?
Hivi uko kikosi gani mkuu?
Jibu yafuatayo nikusaidie!
Una miaka mingapi?
Huna kichaa?
Una elimu gani?
Ulitegemea kuolewa na mwenye kazi gani?
Unafanyia kazi wapi?
Ubikira?
Watakusaidia kuolewa hao ndugu zako au marafiki zako?
Ukileta usenge we unategemea uchekewe tu?
Au unataka mwanaume muelewa, yaani ukirudi umelewa sawa, ukichelewa sawa, semina zisizoisha sawa?
Hawa watu wanajisahau xn,alafu kesho atujazie thread humu kwa nn haolewi:what:
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa
'yani itakuwa ni fulu madoso ndan ya hausi, mwendo-mbaya, ukizingua unamaghufulika, yaani ni iyambeiyambe! tu'
kipendacho roho....
Kwa haya maelezo yako tu achana nae, humpendi na kiapo hutakiweza cha kuishi katika shida na raha, utajiri na umaskini!Huu walakini unakutoa katika hivyo viapo!Tafuta mtu unayempenda ambaye hutawaza mara mbili mtaishije au kazi yake ni ipi!Utakachowaza ni kwa nini anachelewa kukuoa!Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;