Recent content by KANYOROTA

  1. K

    Ulikwisha wahi jiuliza Ishara za kufa chama cha siasa ni zipi?

    JF ... The Home of Great Thinkers!
  2. K

    Ulikwisha wahi jiuliza Ishara za kufa chama cha siasa ni zipi?

    JF ... The home of Great Thinkers!
  3. K

    Kwa hili la simu, Anne Makinda ameonewa..!

    JF - The home of great thinkers!
  4. K

    Sumbawanga: Mwanamke mwenye Albinism akatwa mkono, washukiwa wanaswa wakiwa kwenye harakati ya kuuuza

    Huo ni ukatili na unyama usiovumilika hata kidogo. Maadamu watuhumiwa wamekamatwa na wao ndio walioonesha walipoficha huo mkono basi polisi wakusanye ushahidi unaotosheleza na mahakama itende haki mapema kadiri itakavyowezeka. Mungu amsaidie majeruhi apone mapema.
  5. K

    Kwa hili la simu, Anne Makinda ameonewa..!

    Nimejaribu kuufuatilia mjadala huu tangu mwanzo na maoni mengi si mageni kutokana na tabia ya baadhi ya wa jf kushindwa kujibu hoja kwa hoja. Badala yake wanaishia kuporomosha matusi tu japo pia sijaona tusi jipya. Pole sana Ndg. Maggid. Hata hivyo, niseme wazi, katika hoja ya msingi ya Ndg...
  6. K

    Wanahabari wanapokuwa wahalifu wa madawa ya kulevya.......

    Baadhi ya vyombo vichache vilivyoripoti tukio hilo la mwanahabari kutoka Tanzania kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Kenya vimetaja kwamba mwanahabari huyo aliwahi kufanya kazi Clouds fm akitangaza kipindi cha 'leo tena'. Pia inaelezwa kuwa alishawahi kuwa mwandishi wa gazeti la Mwananchi...
  7. K

    Moto wawaka jengo la PPF Tower - Dar

    Hapo kwenye red hapo kuna tatizo. Enzi ya utawala wa Mzee Mkapa ikulu paliwaka moto!
  8. K

    Mama Anne Kilango na Ajira za Emirates

    Ni kweli kabisa Ritz. Waajiri wengi hapa Tanzania hawaangalii tena sifa za waombaji. Wao wanaangalia zaidi sifa za udini, ukabila na rushwa ya mwombaji. Wamefikia hatua ya kuwala uroda baadhi ya dada zetu kwa ahadi ya kuwaajiri kwa upendeleo ilhali sifa wanazo. Yaani ni upendeleo upendeleo...
  9. K

    Hivi ni kwanini idadi kubwa ya kabila la wakurya wanapenda kazi ya jeshi na polisi?

    ... utakuta vijana wa Musoma wanaulizana kuhusu kazi mbalimbali wanazofanya wenzao walioko mikoani. Mara nyingi hutumia vyeo vya kijeshi kulinganisha na kazi za wenzao ili kutambua unyeti/uzito wa kazi hizo. Wakati mwingine mazungumzo ya hawa watani zangu huwa hivi:- WAITARA: Hivi Maranya siku...
  10. K

    PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

    Kosa lake ni kwamba atakuwa ameenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo katika sura ya tisa (inayohusu Majeshi ya Ulinzi) Ibara ya 147 inayoeleza kama ifuatavyo:- (3) Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa tu atakuwa...
  11. K

    Rufaa ya Lema kuanza kusikilizwa Disemba 4; Jaji Mkuu aamua kujitoa

    Atakuwa ameshauriwa vibaya na 'wasaidizi wake'!
  12. K

    Hongera MNYIKA Kwa kitendo Cha kunywa kahawa na kucheza bao ktk vijiwe Vya Manzese.

    Hizo ni pongezi za kipuuzi. Wanasiasa wengi, bila kujali itikadi zao, wanapenda cheap popularity kwa kujifanya wanajishusha. Mwingine juzi akapozi kwenye bajaj na kupiga picha. Lakini kitu kizuri kwao ni kwamba wako watu wanavutiwa na tabia hiyo na huo ndio mtaji wao. Hata hapa JF wapo wengi tu...
  13. K

    Ndg Kinana, hili la MNEC wako tulichukulie kama TAKRIMA ama RUSHWA?

    Kikwetu 'shondola' maana yake ni 'wivu'. Utabaki hivyo hivyo.
  14. K

    Kwanini Mukama alipigwa chini ukatibu mkuu CCM?

    ... na huyu naye ni great thinker wa JF - Aibu tupu. Hivi huwezi wasilisha hoja yako kwa kutumia lugha yenye staha japo kidogo? Au unataka watu wote hapa JF wote waonekane hawana busara kama wewe? Shame upon you.
Back
Top Bottom