Recent content by Kanyinya

  1. K

    JamiiForums Tanzania 1.3Tr kwa mwezi TRA wanazikusanya kutoka wapi!!

    Wanakusanya kutoka kwa Wastaafu na Watumishi Wa Umma maana kodi kwa watumishi Wa umma ni kubwa mno.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Spika aliandika barua kwenda Mahakamani kujulisha kuwa Ester Matiko yupo Burundi kikazi

    Leteni hiyo barua hapa ya spika kumwombea ruhusa Ester Matiku
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama gharama hii ya kununua korosho kutoka kwa wakulima itakuwa ni sahihi kama anavyosema Zitto, basi tujiandae kufunga mikanda

    Lakini serikali iangalie na wakulima wengine mbona Gunia LA mahindi limeshuka kutoka 100,000 hadi 20,000 na hakuna jitihada zozote za kuwafidia wakulima Wa mahindi. Pili sijambo jema kwa serikali kujiingiza kwenye biashara Kazi ya serikali ilikuwa ni kutafuta Masoko tu na kuachia sekta binafsi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Asante speaker Ndugai japo kuwasemea watumishi wa umma

    Ndungai hongera sana kwa kuwasemea Watumishi usiwe kama wakina Mkuchika kila siku wanasema uhakiki haujaisha lengo in kujificha kwenye Kichaka cha Uhakiki ili wasiwaongeze watumishi mishahara na Kupanda Vyeo. Serikali hihi hi ilifanya Uhakiki zaidi ya Mwaka mmoja na kutoa majibu Leo hii...
  5. K

    JamiiForums Tanzania KKKT Mna tamaa sana na hela , ona waliyoyafanya na Mzee Mengi

    Hivi kwanini Mengi amemkana Mke Wake?
  6. K

    JamiiForums Tanzania TLS wamkana Fatma Karume sakata ya ushoga

    Hivi maana yake nini Rais Wa TLS anapowatetea Mashoga na Wasagaji
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli ana hali mbaya sana ya kisiasa tunapoelekea mwaka 2020. Ametumia nguvu nyingi kudhibiti vyama vya upinzani, bila kujua, kupambana na upinzani

    CHADEMA siasa za mtandaoni hazita wafikisha kokote jengeni chama kwanza mwambieni Mbowe apeleke ruzuku kwenye ngazi ya Kata, vijiji na Wilayani asile peke yake. Pie mjenge Ofisi ya Kisasa ile ya Ufipa imechoka
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Wana CCM wanalalamika sana chama kupoteza uhalali na kushindwa kufuata Katiba na misingi yake

    Kama CHAGADEMA inafuata utaratibu na Katiba Freeman Mbowe anamiaka mingapi akihudumu kama Mwenyekiti Wa Chama? Muulizeni Zitto Kabwe alipotaka Uenyekiti alifanyiwa mini na yuko wapi Siku hizi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Watu 10 muhimu waliomuweka Magufuli Ikulu 2015

    Mimi nafikiri watu muhimu sana waliofanya Kazi kubwa na Kusababisha JPM kuwa Rais no hawa wafuatao: Mzee Benjamin Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete, Philip Mangula, Kanali Kinana, Nape Moses Nnauye, Mwigulu Nchemba, January Makamba, Khamis Kigwangwala, Humphrey Polepole, Joseph Msukuma na Abdalla Bulembo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Mungu hadhihakiwi malipo ya wizi wa kura mtayapata hivi karibuni

    Hata wewe unalaana Nyalandu umeanza kupata malipo hapahapa duniani ya Wizi Wa Twiga wetu. Ndo màana umeenda kutumika chini ya Dikteta Mbowe hiyo ni laaana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani Mh Lema kuzungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chadema , 20/10/2018

    Nani anahamu ya kusikiliza hicho Kivuli
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uhakiki kwa Watumishi wa Umma kufanyika tena upya

    Huyu Katibu Mkuu badala ashughulikie maslahi ya Watumishi Wa Umma anapambana na watumishi Wa Umma. Tangu awamu hii iingie madarakani hakuna Kupanda Vyeo wala kuongeza nyongeza za mishahara. Kila siku ni kupambana na Watumishi Wa Umma ili kukontroo payroll Payroll ya Watumishi Wa Umma isizidi...
Back
Top Bottom