1.3Tr kwa mwezi TRA wanazikusanya kutoka wapi!!

1.3Tr kwa mwezi TRA wanazikusanya kutoka wapi!!

naninibaraka

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
910
Reaction score
669
Hili limejitokeza leo kwenye mkutano wa TRA na tasisi za serikali ambapo rais alidokeza kuwa kwa sasa TRA wanakusanya 1.3T kwa mwezi, nimeona nilete kwenye wataalamu wachambuzi, ili tuweze kupima na kuangalia kama mazingira ya sasa ya biashara yanaendana na makusanyo ya 1.3T.

Nawasilisha
 
Kwa swala la wamachinga nakubaliana nae ila ikusanyaji huo Sina uhakika nao
 
Tatizo hakuna uwazi, ni ngumu kujui wapi ni wapi. Inawezakana kuna mapato yameshuka upande mmoja na upande mwingine yameongezeka. Mitandao ilikuwa hailili kodi kwenye Vocha na mobile money, inawezekana zimejazia nyama kwingine
 
Kma tunakusanya iyo toka TRA tu kwann analialia kuwa watu hwalipi kodi
 
Hili limejitokeza leo kwenye mkutano wa TRA na tasisi za serikali ambapo rais alidokeza kuwa kwa sasa TRA wanakusanya 1.3T kwa mwezi, nimeona nilete kwenye wataalamu wachambuzi, ili tuweze kupima na kuangalia kama mazingira ya sasa ya biashara yanaendana na makusanyo ya 1.3T
Nawasilisah
Ni jumuishi ya mapato yote hata ya kwenye halmashauri na vyanzo vyote traffic nk
 
Hata wakikusanya Trillion 2 kwa mwezi bado haifikii nusu ya budget.Sisi ni maskini
 
Ni jumuishi ya mapato yote hata ya kwenye halmashauri na vyanzo vyote traffic nk
TRA wanatumia vitisho na jeuri badala ya elimu kwa mlipa kodi..

Elimu kwa mlipa kodi itasaidia kuongexa idadi ya walipa kodi

Watanzania wafundishwe kufungua biashara, wasajiliwe na wapewe mafao yao...

Serikali inaleta kanuni kuwa ukiresign...ni kosa..ungojee mpaka ustaafu...Kanuni jeuri kabisa hixi

Bring back FAO LA KUJITOA
 
Kodi ni tools moja wapo katika zile tools za kuwafanya watu wawe masikini
 
Tajeni kodi zote lakini msisahau kodi za trafiki barabarani maana huwa zinaniumiza na kunichukiza sana
 
Waziri wa fedha alizungumza kuwa wamefeli malengo yao ya kukusanya kodi inavyotakiwa na sababu alizitoa aje mkemia tena atoe takwimu za uchumi wapi na wapi...
 
Hujui vyanzo vya kodi au unataka kucheza na akili zetu?
 
Back
Top Bottom