Ndugu yangu IK aka Marcopolo baada ya juhudi zako za kuwapotosha madaktari wenzako kushindwa sasa umeamua kutumia jukwaa la JF kuwaua madaktari wenzio kwa nini usimwambie Dr Chitange na Dr Namala face to face kwamba ni machekibobu?? kama mwanachama hai wa MAT?? acha izo bana umesahau...
Butola Mikutano sio lazima ukumbini teleconfrerence kwa free skype inawezekana FB, Twitter, Linkeldin, Egroups yote ni makutano ambayo kirungu cha FFU wala gari la maji ya upupu halifikiiiiii...Dunia imebadilika mkuuu
Gango hakuna mtu aliyehadaiwa, ila naona aidha huelewi ama kwa kuwa ushazoea uonevu kuishi katika lindi la umaskini na wachache kuishi kwa utajiili ndio maana unataka na madaktari wakubali hayo, ni watanzania walipoamua kusoma udaktari mliamua kwenda Long room kutafuta hela acha watafute maslahi...
VODACOM ndiye mdhamini mkuu na Mkuu wa masuala ya misaada ya Kijamii Mwamvita Makamba alikuwepo jukwaani, hawawezi kwepa lawama hizi they/you know this better...Being a main sponsor moja kwa moja unajivika FULL RESPONSIBILITY za kuwajibika na hiyo shughuli...
Kuonyesha picha za CCM hakuwezi KUJUSTIFY a sense of INHUMANE ambayo VODACOM wameonyesha kwa kuendelea na shindano la UREMBO kukiwa na MSIBA mkubwa nchini, inawezekana baadhi ya wazanzibar hawakubaliana na muungano, hayo ni maoni yao lakini legally Zanzibar is part of Tanzania. Yes Vodacom are...
Kwa nini upuuzi huu unaendelea kila siku?? same people come sun come rain?? why??? baada ya siku nne za kuiweka nchi katika tension ikiwemo kuhairisha bunge na mbwembwe kibao, mwisho wa siku familia zile zile zimepokezana madaraka
Kigoda
Meghji
Makamba
Kinana
Kikwete
Nnauye
Daftari...
Acha ushabiki usio na maana alikataa milioni moja kwa uzalendo au kwa kuw Dowans walishamkatia?? Hivi Tanzania ni nchi ya Kifalme??? lazima awepo Kinana, Kigoda, Mwinyi, Makamba Families kila mahala??? maanake hakuna watanzania wengine wenye upeo UPUUZI MTUPU...........
Hawa vijana wamepata umaarufu kupitia vijana wenzao tukaacha muziki wa kimagharibi na kununua kazi zao za sanaa na kuhudhuria matamasha yao leo hii wanatuona sisi hatunazo na MIRAJI na BABA yake ndo wa maana................NATOA HOAJA TUWATOSE NA TUSAMBAZE KAZI ZAO BURE KWENYE MTANDAO...........
Huyo Blandes ni Hopeless nitashukuru sana kama wanaKaragwe wenzangu watamgoa tupo wote katika hilo.......Mungu Ibariki Tanzania,...Mungu Ibariki Karagwe................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.