CCM sio chama cha siasa, ni kampuni ya Familia za Kifalme

kanyabuleza

Member
Apr 27, 2008
18
8
Kwa nini upuuzi huu unaendelea kila siku?? same people come sun come rain?? why??? baada ya siku nne za kuiweka nchi katika tension ikiwemo kuhairisha bunge na mbwembwe kibao, mwisho wa siku familia zile zile zimepokezana madaraka
Kigoda
Meghji
Makamba
Kinana
Kikwete
Nnauye
Daftari

HUWEZI KUSEMA CCM IMEJISAFISHA ila SANASANA, wamekosa maji/toilet tissue na kujipaka uchafu....BULLSHIT
 
Nimeona thread moja ina sema Husein Mwinyi kuwa rais 2015, Siajelewa
niyale mafanikio ya Karume mtoto au nini?

Kwa mwendo huo wakurithishana mbona tutakuwa tunarudi nyuma karne ile ya 47
 
Nimeona thread moja ina sema Husein Mwinyi kuwa rais 2015, Siajelewa
niyale mafanikio ya Karume mtoto au nini?

Kwa mwendo huo wakurithishana mbona tutakuwa tunarudi nyuma karne ile ya 47

Si Karne ya 47 Bale Zama za Mawe Za kati! Kile kipindi cha Uwimbombo na Ulindi! Nasikitika kwamba tunakoenda Siko!
Huyo H. Mwinyi Kashindwa kujiuzulu tu kwa kashfa za mabomu aje awe RAIS 2015???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
hiyo ndo siyasa ya democrasia dunia hii leo huko kwa kina bush mkubwa alitoka alafu mtoto akaingia kiaina huko Uk ndo usiseme wanafiki kabisaaa kuna queen, hata sijui kwa nini wanaitaji malikia. alafu the so called developed countries wanakuaga na two parties kwahio unachagua kati ya mafisadi wawili mmoja awe raisi. Mambo ya republic na democrat part huko america alafu wote kama wanajuana. ukienda urusi ndo puttin anapanga nani awe kiongozi.
 
Mh makubwa kabisa
 
Hizi dynasty si nzuri hata kidogo........... CCM wanajidai wanajivua gamba kwa kuwapiga chini akina Makamba, halafu anaingizwa January Makamba na Nape Moses Nnauye........ Mtoto wa nyoka ni nyoka tu......... gamba la nyoka likitoka, anabaki nyoka tule yule mwenye sumu na kila kitu + gamba jipya............
 
Ndi nchi za kifalme zilivyo mkuu, mtoto wa mfalme ni mfalme wa kesho
 
Angalieni wenyewe,

CCM sio ya wanachama na pia haina wanachama tena. Wanachama kama wapo ni mfu maana hawachangii tena chama. Pia hakuna maamuzi ya vikao vya KATA, WILAYA, MKOA yanayozingatiwa.

Maadili yaliyoanzisha chama hayazingatiwi, Ndo maana wanachama hawachangii. Mafisadi na hela za kifisadi ndo zinaendesha Chama. Hivyo serikali inaendeshwa kwa masilahi ya mafisadi. Ndo maana hawashindi uchaguzi bali wanaiba kura na kuchakachua hata matokeo

Tangu 2005,Mkapa alivyoondoka CCM imeshakufa ila imebaki kampuni ya mafisadi tu kwa kivuli cha CCM.
 
Ingekuwa CHADEMA kingetajwa kama chama cheye mfumo wa kifalme, lakini kwa kuwa ni CCM, sawa tu, A Mornach party. i.e Makamba senior & Junior, Nnauye Senior & Junior, Sumari Senior & Sumari junior, Mwinyi senior & Mwinyi Junior, Karume senior & Karume Junior, Kikwete & Ridhiwan, Kawawa Senior vs Junior, Wasira senior vs junior, Masauni senior Vs Junior, Mongela senior vs junior, Mapachu senior vs junior, mzindakaya senior vs junior orodha ni ndefu inayotengeneza mpaka mduara wa ufisadi. Na wewe ongezea uwajuao.

Hiyo ndio CCM bana,halafu kuna watu wao kazi yao kushabikia tu hawajui kwamba CCM inawenyewe,so sad!!!!.
 
Wanajiita wana system!kama haupo ktk mtandao wao wa ccm sahau kwa kazi,tenda,madaraka serikalini,biashara bila kodi
 
Back
Top Bottom