Dereva ashapoteza mwelekeo,,, kila atakayekatiza mbele yake analo... Mungu tujalie ujasili watanzania wa kuona na kutambua nia ovu ya dereva wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi hawa vijana wa lumumba huwa wanafikili kweli?????. Mumeibuka na swala la mikopo kwa wanafunzi bila haya, saiz munadai vipimo kwa mkemia. Hii nchi ni yetu SOTE na katiba na sheria ndo mwongozo wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la ndoa ni kuendena mitazamo wala usomi hauna nafasi, kinacho sumbua ni mfumo DUME, endapo kama dada zetu wakitambua vyema majukum ya mke wasomi wenzao hawataogopa kuwaoa na cc wanaume pia tunapaswa kubadili mitazamo wetu juu ya usomi. Xo wanandoa waweke usomi pemben na vibaki mume na mke...
Wabunge wa kariba ya akina bashe kwenye chama tawala huwa hawadum, nadhan tunamkumbuka Filiku Njombe. Ufezuri na uzandiki umejaa mioyoni mwao. Kuna maswala huwa yanapaswa kujadiliwa na kupewa uzito wa kitaifa lakini utakuta mbunge anasema kwa ilani ya......., lakn nawakumbusha hata wanajanvi...
Haya yote tutayapata kikubwa muda ndo Rafiki wa kweli, ngosha atatuyumbisha lakn mwisho ni aibu tu kwake. We angalia maamuzi yanayoendelea serikalin yaan hakuna ushilikiano kila mmoja anafanya yake tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.