merchant97
Member
- Oct 2, 2017
- 45
- 20
Punguza negativity of your mind mkuu,...fursa kibao kuhusu kilimo,ufugaji,biashara n.k znatangazwa na clouds(tuwe na shukrani)
Cjajua ulilenga kutoa motivation kwa vijana au kupondea hao clouds,kina shigongo,mentors nk
Lakini ujumbe wangeupata bila ata kupondea pia,...be positive bro