Napinga kumwita na kumwona Edward lowasa kama ni shetani na fisadi mkuu. Kumwita mwandamu mwenzio shetani mkuu haifai kabisa, hasa pale inaposadikiwa tu paspo ushaidi.
Haya sasa watumishi wakidai stahiki zao za kupandishwa madaraja, wenye mamlaka huwa kama hawaoni vile na hujinadi kuwa eti wao wanafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.