Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

Wakati huu nchi haina madiwani mabaraza yameshavunjwa. wapo watia nia
 
Karibuni CHADEMA, mmeishi kwenye mateso na laana kwa muda mrefu
 
Mwaka huu namuonea huruma yule mzee JD amewekeza sana kwenye ubunge wa Meru haya sasa dogo Janja ameshamtangulia mbele wote hawa waliokuja CHADEMA wanatoka kata zenye watu wengi sijui atatoka vip. Hongera Comred Nassari

John D hapo ataambulia aibu tu ni bora aendelee na business zake
 
Chadema nao hadi huku, Duuu! balaaa, wataisoma kama wimbo wao wa Miccm!
 
WATANZANIA HATUITAJI
MABADILIKO, KAZI YETU USHABIKI
TU WA WAGOMBEA HVYO BASI:-
Mkulima azid kukomaa
machnga hvo hvo
mbeba cago akazane mpga debe aongeze bidii
anayepata rzki kwa uswahl akomae na
uswahl wake.
WATUMISHI WA SERIKALI NAO
WAHESHM KAZ ZAO KWANI
TUMERUHUSU AKIL NDOGO IONGOZE AKILI KUBWA.
KWA HUU USHABIKI WACHACHE
NDIO WATAKAONUFAIKA TU
 
mbona wote ni kazikazini tu...? I have a doubt...!!!
Wale waKahama na Simiyu nao ni wa Kaskazini!? Hizo karata zenu za ukanda, ukabila na udini mwaka huu hazina tena nafasi.
 
madiwani wote wa ccm toka halmashauri ya meru mkoani arusha wote wamehamia chadema

mbuyu unapondeka kwakakasi sana ccm kwishenei kwishenei.

Muda huu madiwani hao wamehamia chadema
hureeee!!, bado mkuu wa mkoa......
 
Jk jana alikuwa ana kula Bata na washkaji zako Milliman city
 
Back
Top Bottom