Bm_boy
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 547
- 348
Salam JF
Kumekua na propaganda nyingi kila kukicha juu ya Dr Slaa.. Mara amehama, mara kachukizwa na ujio wa EL na Bla bla kibao. Na bila mashaka, yote haya yanaratibiwa na Team Lumumba.
Kwangu mimi, nafikiri wamefanikiwa kuwapa hofu Wanachadema kwa asilimia flani..
Ila wakumbuke siku Dr akijitokeza hadharani, tena natamani aendelee kujificha hadi 8.8.2015, Chadema watakapo fanya mkutano wa kihistoria uwanja wa Taifa kama tulivyo taarifiwa.. huku dunia ikiutazama ndipo awachane makavu, na ndio liwe anguko la CCM mazima.
CCM wamekua wakiweka planning wasizojua matokeo yake badae. Kwenye List ya mafisadi walikua zaidi ya kumi, tena EL alikua namba kama sikosei ni 9 lakini Chadema waliamua ku deal na EL kwasababu ya nguvu walioiona aliyokua nayo ndani CCM.. Kwa kulijua hilo walijua wakifanikiwa kumdhoofisha EL tumeidhoofisha CCM.
CCM bila kujua wakababia wakaona EL ndio anatuchafulia chama sasa la msingi ni kumng'oa, wakaja na operation Vua gamba.. Ikagonga mwamba mwisho wa siku ni kuamua kumkata, matokeo yake ndio haya.
Sasa nataka niwaambie CCM, hizi propaganda zenu za kubabia ndio zinawamaliza. Sasa hivi macho ya Watanzania wote yapo Chadema na zaidi ni kujua kweli Dr anahama. Ila siku Dr akija hadharani na kukanusha hili, ndilo litakua anguko la CCM la mwisho.
Na hapa waliopewa kazi ya kukusanya rambi rambi za kifo cha CCM basi wafanye kazi yao ya uhakika.
Uwanja utarindima shangwe na nderemo atakapoonekana Dr Slaa.
Asante CCM kwa hili
Nawasilisha