Recent content by kantananati

  1. kantananati

    Naweza kuwa dereva wa Uber ilhali mimi ni binti?

    Madereva wa Uber wasichana wapo japo ni wachache. Tena kwa ukiwa msichana keep change zipo nyingi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kantananati

    Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

    2015 Lowasa peke yake aliwatikisa CCM kiasi kile. Vipi Hawa wazee watatu wakiungana Hapa Membe kule Makamba pembeni Kinana?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kantananati

    Natafuta chumba cha kupanga karibu na Mlimani City

    Naweza pata chumba Master,Sebule na Jiko kwa 150K mbezi mwisho? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kantananati

    Nilichokiona kwa x wangu hakika nimeshikwa na huruma

    Ulimtoa moyoni ukamuweka wapi sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kantananati

    Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

    Marekani wana fitina sana ila ukweli ni kwamba huwa wana taarifa za kile wanachokisema. Hawa Jamaa walianza muda mrefu kutoa matamko yao kuhusiana na mambo yanayoendelea nchini ikiwemo kutahadharisha hatua wanazoweza kuchukua kama Hali haitabadirika. Hili zuio lao walilotoa kwa Makonda na...
  6. kantananati

    Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Vyumba vingapi hii nyumba?Ramani yake shilingi ngapi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kantananati

    Madaktari Mt. Meru Arusha wala njama kumuua mgonjwa

    Hizi tuhuma ni nzito sana mkuu. Then pole sana mkuu kwa kilichotokea. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kantananati

    Chuo kizuri cha udereva

    Baada ya kujichanga kwa muda mrefu sana mwezi wa 6 nategemea kuvunja kibubu kuchukua kagari ka kupiga nako misele town. Kwa hiyo wakuu naomba anayejua chuo kizuri cha udereva chenye ada nafuu na ratiba isiyobana anipe muongozo. Napendelea Chuo kiwe katika wilaya ya Ubungo. Muda wa mafunzo uwe...
  9. kantananati

    Niliyemdhamini kakimbia kesi naomba ufafanuzi wa kisheria katika hili

    Rejea hukumu ya kesi ya Mbowe kuvunja masherti ya dhamana mkuu. Utapata majibu unayotafuta. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kantananati

    Siku mkiona kimya Mjue wazazi wa huyu mtoto wa Geti kali wamenishoot

    R.I.P in advance brother Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kantananati

    Nauza suruali za kadeti

    Chini pana au modo flani?.Kama modo chini niletee kesho udsm. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kantananati

    Natafuta Mpenzi nimechoka kuwa mpweke

    Kama Kichwa cha nyuzi kinavyosema.Natafuta Mpenzi ili baadaye awe kuja kuwa mke. Sifa zangu; Jinsia Me Umri 30 Kazi Muajiriwa Kimo Sio mrefu wala mfupi Elimu yangu. Shahada ya kwanza Ninayemtafuta Asiwe mnene sana Rangi yeyote Shape iwe tu ya kike. Urefu wa kawaida Elimu kuanzia Diploma Awe...
  13. kantananati

    Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

    Pole sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kantananati

    Nisamehe waitress

    Hiyo iwe fundisho kwa wote mnaoenda bar na kuagiza soda. Soda nenda kanywe dukani kwa Mangi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom