Recent content by KANTAA

  1. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    umenikumbusha somebody called Joker in that movie, ni nomaaaaa
  2. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    MKUU KWELI UMENENA MAANA NAONA TUNAJIFARIJI KAMA MFUGAJI ANAYEAMINI IPO SIKU NG'OMBE WAKE ANAWEZA AKAKAMULIWA MPAKA AKAJAZA PIPA LA MAZIWA WAKATI UWEZO HATA WA KUJAZA NDOO MOJA TU WALA HANA. SO TUJIONGEZE NA HIZI MIND SET ZETU
  3. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    FUATILIA KWA MAKIN POST, USITOKWE NA POVU BILA SABAB MIMI SIYO NILIYESEMA USAILI UNARUDIWA KWASABABU SINA USHAHID HUO NA NANI KAKWAMBIA NIMEKOSA NAFASI!!!
  4. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    KUMBUKA ATA JESHI NI IDARA YA SERIKALI!!
  5. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    TAARIFA YA WAZIRI JANA INASEMA SIO KILA MWENYE SIFA YA KUPATA MKOPO BASI ATAPATA, HAPO NDO UJIULIZE KWANIN??????
  6. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    JAMAN EBU TUJIONGEZE KWA KUZINGATIA HAYA; AJIRA MPYA BADO HAZIJATOKA NA NI MWAKA SASA UNAELEKEA KUKATA, WANAFUNZI WA VYUO NAO MIKOPO NDO HIYO INAZINGUA, WALIMU WANADAI MADAI YAO, DAWA NAZO MAHOSPITALIN ZINAZINGUA N.K, SO THE PROBLEM IS MONEY.
  7. K

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    TUTAENDELEA KUMKUMBUKA MZEE WETU WA MSOGA MR J.K KWA MAKUBWA ALIYOLITENDEA TAIFA HILI. MUNGU AMJALIE MAISHA MAREEEFU MZEE HUYU.
  8. K

    Jacqueline si mtoto wa Prof Ndalichako, asihukumiwe bila hatia

    Wengi wa wabongo tunakurupuka tumesahau hata kwamba si kila mwenye jina la ukoo (SURNAME) linalofanana na kigogo serikalin au mtu yeyote basi wanafahamiana, swali la kujiuliza ni je jina Ndalichako limehalarishwa kutumiwa na Mh. waziri tuu katika ukoo????? na kama sio kwanini wabongo...
  9. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    TATIZO NI PESA/BUDGET!!!!!!!!!
  10. K

    Mzumbe Sekondari

    saf sana nimemuona hapo, sitayasahau maisha ya wazumbe tuliishi kama watoto wa familia moja
  11. K

    Mzumbe Sekondari

    Nimepamic sana Uzumben enzi za Kamanda NJAWA master by that time 2010/12
  12. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    ETI KWA MUJBU WA IKULU!!!! THIS IS TOO MUCH FALSE, TUSUBIRI TU MMK WATOE TAARIFA HATA KAMA MWAKANI
  13. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    MAMBO YANAENDA POA MWEZ WA TISA NDO HUOOO NA MADOGO NDO WANARUD KUTOKA MAKOZIN, 3 MONTHS IS OVER NOW SO GET PRPARED ANY TIME
  14. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mafinga unaijua au unaiskia tu
  15. K

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mbona unacheka na kulia mkuu? kunani????
Back
Top Bottom