Recent content by kanjunjubae

  1. K

    Nina millioni 1 na laki 3 nifanye biashara gani?

    Hiyo mambo ya kumpa mtu pikipiki akuletee hela sio Kabisa tena pikipiki yenyewe used.. Aloo utalia kilio cha mbwa koko
  2. K

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hus umeme umenifanya nikeshe mpaka mida ya saa hii 01;16 kisa joto...... jamani hizi shida mpaka lini tumechoka
  3. K

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    *POLITE REMINDER... !* *Wale wote mliochukua wafanyakazi wa ndani toka kondoa mnaombwa kuwarudisha wakafanye mtihani wa la saba...* [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  4. K

    Mzazi mwenzangu amegundua nina mahusiano mengine nje ,nifanye nini ili anisamehe turudi kama mwanzo?

    Hayupo serious kabisa...... Yaani sijawahi ona mwanamke kiazi kama huyu
Back
Top Bottom