Sio mwanza tu hata huku tunduma yaani umeme unakatika huelewi unakuja saa ngapi pia ukiwepo uelewi utakatika saa ngapi kwakweli kama ni mgao waseme basi watu tujiandae
Mtu akishakufa amekufa na aendi popote wala hafanyi lolote wala hawazi chochote ni kama mshumaa ukiisha umeisha so hakuna sababu yakuabudu au kuwaombea marehemu wao wameshamaliza kazi zao hapa duniani kilicho naki ni sisi kumuomba mungu na kujitengenezea njia nzuri kwa Yehova
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.